Hivi jua huwa likizama linatua wapi?

Linatua dodoma makao makuu nimevuta lkn imezima ghafla kuna upepo sana hapa
 
Huwa linatua Instagram, wakati mwingine snapchat. Inategemea tu na bando na ubongo wako.
 
Dunia inazunguka jua, na jua nalo linazunguka black hole iliyo katikati ya galaxy yetu, Milky Way galaxy, kwa hiyo kusema jua halitembei si sahihi.

Jua linakwenda mwendo wa kasi ya maili 483,000 kwa saa katika mzunguko wake wa kuzunguka galaxy yetu ya Milky Way.

Milky Way galaxy nayo inakwenda kwa kasi ya maili 1.3 millionkila saa.

Ukianza kuangalia mpira, mpaka ukamaliza dakika 90, Milky Way Galaxy itakuwa imeshakwenda zaidi ya umbali wa kutoka duniani mpaka kwenye jua, wa maili milioni 93.

Kutuchanganya zaidi, space yenyewe ina expand, kwa hiyo umbali huu wote ni mdogo ukikinganisha wa umbali halisi, kwa sababu mienendobyote hii inatokea katika spave ambayo ina expand na kufanya umbali uwe mkubwa zaidi.


Using standard candles with known intrinsic brightness, the expansion of the universe has been measured using redshift to derive Hubble's Constant: H0 = 67.15 ± 1.2 (km/s)/Mpc. For every million parsecs of distance from the observer, the rate of expansion increases by about 67 kilometers per second
Ila kwetu sisi hatuoni kasi hiyo kwa kuwa tupo katika mfumo wa jua. Ni kama sisimizi aliyekaa katika gari linaloenda kasi ya 100 miles/ hour, na haoni mwendo huo kasi kwa sababu yumo katika gari na kila kitu kilicho katika gari ni kama kimesimama.

Metric expansion of space - Wikipedia

Kwa zaidi soma hapa.

https://astrosociety.org/edu/publications/tnl/71/howfast.html
 
Mwenzako nae alileta Uzi juzi hapa akidai kama dunia inazunguka mbona sisi hatumwagiki, nikajisemea kimoyo moyo siku hizi mitaala shuleni imebadilika nini!!! walimu hawana vitendea kazi ama!!!!
 
Wanamajibu ya kusadikika huwa siwaelewi kabisa mm
Ndugu yangu dunia ndio inaizunguka jua, sio jua kuzunguka dunia. Jua limesimama sehemu moja tu kwenye orbit. Kwahiyo upande wowote wa dunia unaopigwa na mwanga ndio mchana huko, na usiopigwa na mwanga ndio usiku.
 
Ndugu yangu dunia ndio inakizunguka jua, sio hua kuzunguka dunia. Jua limesimama sehemu moja tu kwenye orbit. Kwahiyo upande wowote wa dunia unaopigwa na mwanga ndio mchana huko, na usiopigwa na mwanga ndio usiku.
Dunia inazunguka jua, jua halijasimama nalo linazunguka Milky Way galaxy, milky way galaxy nayo inazunguka local cluster.

Mwendo wa galaxy yetu tu, Milky Way, ni 1.3 million miles per hour. Tunakwenda kwa mwendo huu.

Ila hatuuoni kwa sababu ni kama sisimizi tulio katika gari linaloenda kasi.

Soma post yangu ya juu hapo.
 
Kama una smart phone na bundle mambo mengine unajifunza google na you tube.
 
Kama una smart phone na bundle mambo mengine unajifunza google na you tube.
Google na YouTube zimeandikwa na kusemwa Kiingereza labda watu hawaelewi lugha.


Zamani, miakanya themanini, nilikuwa nina kitabu kinaelezea mpaka nadharia za LaPlace kuhusu kuanza kwa mfumo wa jua, kwa Kiswahili.

Sina hakika kama vitabu hivi vipo bado.
 
Kwa nijuavyo mimi, ukiwa Tanzania jua huwa linatua Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo DRC na huchomoza Bahari ya Hindi, watu wa kongo ndio wanajua zaidi linapotua kama ni Lubumbashi au Kalemii,
 
Al-Watan ACHA UONGO, JUA HALIMOVE KWENDA SEHEMU YOYOTE ILE, KWANZA JUA SIYO SOLID, SASA LITAWEZAJE KWENDA SEHEMU NYINGNE? LABDA KAMA UNAMAANISHA LINASPIN PALEPALE LILIPO NA HALIJONGEI KULINGANISHA NA DUNIA AU MWEZI. JUA LIPO PALEPALE.
 
Habari wakuu,


Tunajua usiku na mchana hupatikana kwa dunia kujizungusha kwenye muhimili wake.

Katika kitu cha kujiuliza ni wapi jua linapotua, je lenyewe halisimami?

Najua mtabeza.


Ila toeni maoni yenu.
 
Habari wakuu,


Tunajua usiku na mchana hupatikana kwa dunia kujizungusha kwenye muhimili wake.

Katika kitu cha kujiuliza ni wapi jua linapotua, je lenyewe halisimami?

Najua mtabeza.


Ila toeni maoni yenu.
Naomba nikujibu kiwepesi kulingana na ulivyouliza. "Wakati wewe unaenda kulala (usiku) wengine huko duniani wanaamka (asubuhi kunakucha).
 
JUA LIKIZAMA MASHARIKI LITATUA MAGHARIBI, vivyo hivyo kwa kinyume.

[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
 
Al-Watan ACHA UONGO, JUA HALIMOVE KWENDA SEHEMU YOYOTE ILE, KWANZA JUA SIYO SOLID, SASA LITAWEZAJE KWENDA SEHEMU NYINGNE? LABDA KAMA UNAMAANISHA LINASPIN PALEPALE LILIPO NA HALIJONGEI KULINGANISHA NA DUNIA AU MWEZI. JUA LIPO PALEPALE.

Kumuita mtu muongo, kwa tuliolelewa na kufunzwa, ni tusi kubwa. Sijui kama umelelewa na kufunzwa, kwa hiyo sitaki kukupa uwezo ambao labda huna kwa kulichukulia tusi hili maanani.

Nimeweka link hapo juu awali inayoeleza jua linazunguka Milky Way galaxy, na Milky Way galaxy inazunguka center of local group.

Ila sina hakika kama unaelewa hii lugha.

Kama unajua Newtonian physics utajua sababu ile ile inayofanya dunia kuzunguka jua, ndiyo ile ile inayofanya jua kuzunguka center of the galaxy.It is just a matter of gravity.

NASA wameadnika hapa chini.

Bishana na NASA sasa.

Usipende kuita watu waongo kwa vitu usivyovijua.

Does the Sun move around the Milky Way??

Question:
Does the Sun move around the Milky Way?






Answer:
Yes, the Sun - in fact, our whole solar system - orbits around the center of the Milky Way Galaxy. We are moving at an average velocity of 828,000 km/hr. But even at that high rate, it still takes us about 230 million years to make one complete orbit around the Milky Way!

The Milky Way is a spiral galaxy. We believe that it consists of a central bulge, 4 major arms, and several shorter arm segments. The Sun (and, of course, the rest of our solar system) is located near the Orion arm, between two major arms (Perseus and Sagittarius). The diameter of the Milky Way is about 100,000 light-years and the Sun is located about 28,000 light-years from the Galactic Center. You can see a drawing of the Milky Way below which shows what our Galaxy would look like "face-on" and the direction in which it would spin as viewed from that vantage point. Also shown, is the location of the Sun in the big picture view of our Galaxy.

 
Habari wakuu,


Tunajua usiku na mchana hupatikana kwa dunia kujizungusha kwenye muhimili wake.

Katika kitu cha kujiuliza ni wapi jua linapotua, je lenyewe halisimami?

Najua mtabeza.


Ila toeni maoni yenu.
Jua halizami.Dunia inazunguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…