Hivi jua huwa likizama linatua wapi?

Habari wakuu,


Tunajua usiku na mchana hupatikana kwa dunia kujizungusha kwenye muhimili wake.

Katika kitu cha kujiuliza ni wapi jua linapotua, je lenyewe halisimami?

Najua mtabeza.


Ila toeni maoni yenu.
Bora ungeuliza likipaa linatua wapi, likizama nadhani linatua kwenye kitako cha bahari.
 
Hawakuelimika mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…