Hivi Jux utamuoa kweli mtoto wa Kipare Vanessa au?!

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Hawa wadogozangu bwana mbona kama safari yao haiishi

Wanaenda mbele kama wanarudi nyuma

Huyu anaongea hiki mwingine kile na mdogomtu hiki cha!

We Jux utamuoa huyo mdogoetu mtoto wa kipare Vanessa Mdee au?!

Bora yule Msukuma kaweka Mbegu tunda likapatikana kwa yule dogo wa kimarangu anaitwaje tena... wameimba Bajaj ah Navy Kenzo

Ngoja tuendelee kuangalia YouTube maana yajayo yanaweza kufurahisha

SAMAHANI NAULIZA KWA WEMA SIO KWA UBAYA

KAMA HUNA CHA KUCOMMENT CHA WEMA NA KIZURI USICOMMENT
 
Wache wazichange kwanza ...mda ukishaenda ndio watafikiria mambo ya Ndoa, kwa sasa wanachowaza ni kutengeneza mshiko, sasa sijui nani atazifaidi Kama sio Kizazi Chao....[emoji53][emoji53][emoji53]
 
Kuna this Lady Marekani amegandisha mayai tangu ana miaka 30 mpaka Leo ana 43 anasema hata hakumbuki yalipo

Sijui Nilikuwa naangalia reality show gani au ni Oprah Network sikumbuki

Mgandishano wa Mayai haujawahi kumwacha mtu salama
Labda uzembe wake hakumbuki kituo gani cha Afya aliyaweka na pengine kahama states nyingi mpaka hakumbuki.

Ndio keshapoteza mayai Bora...

Kila kitu kina faida na hasara..
 
1. Ujana tu unasumbua

2.Nafikiri hawapo tayari kuingia kwenye majukumu ya kifamilia

3. Utofauti wa imani zao za dini
 
Hawa wadogozangu bwana mbona kama safari yao haiishi

Wanaenda mbele kama wanarudi nyuma

Huyu anaongea hiki mwingine kile na mdogomtu hiki cha!

We Jux utamuoa huyo mdogoetu mtoto wa kipare Vanessa Mdee au?!

Bora yule Msukuma kaweka Mbegu tunda likapatikana kwa yule dogo wa kimarangu anaitwaje tena... wameimba Bajaj ah Navy Kenzo

Ngoja tuendelee kuangalia YouTube maana yajayo yanaweza kufurahisha

SAMAHANI NAULIZA KWA WEMA SIO KWA UBAYA

KAMA HUNA CHA KUCOMMENT CHA WEMA NA KIZURI USICOMMENT

Mimi ninachojua tu ni kwamba Kuoa Mwanamke wa Kipare ni sawasawa na Kumpa hifadhi ya Kudumu Gaidi wa Al Qaeda au Al Shabaab au ISIS aliyejivika / aliyevalia ' Mabomu ' ya Kujitoa mhanga ambayo muda wowote anaweza ' akakulipua ' nayo. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Hawa wadogozangu bwana mbona kama safari yao haiishi

Wanaenda mbele kama wanarudi nyuma

Huyu anaongea hiki mwingine kile na mdogomtu hiki cha!

We Jux utamuoa huyo mdogoetu mtoto wa kipare Vanessa Mdee au?!

Bora yule Msukuma kaweka Mbegu tunda likapatikana kwa yule dogo wa kimarangu anaitwaje tena... wameimba Bajaj ah Navy Kenzo

Ngoja tuendelee kuangalia YouTube maana yajayo yanaweza kufurahisha

SAMAHANI NAULIZA KWA WEMA SIO KWA UBAYA

KAMA HUNA CHA KUCOMMENT CHA WEMA NA KIZURI USICOMMENT

JUX Msukule tu hapo,

Purely Mwanaume wa Dar !

======
 
Mi nilishasema, Jux anakaa mlangoni tu, ndani haingii nje hatoki. Kama vipi apishe njia asilete gozigozi kabla Vanessa wenyewe anazeeka.
 
Hawa wadogozangu bwana mbona kama safari yao haiishi

Wanaenda mbele kama wanarudi nyuma

Huyu anaongea hiki mwingine kile na mdogomtu hiki cha!

We Jux utamuoa huyo mdogoetu mtoto wa kipare Vanessa Mdee au?!

Bora yule Msukuma kaweka Mbegu tunda likapatikana kwa yule dogo wa kimarangu anaitwaje tena... wameimba Bajaj ah Navy Kenzo

Ngoja tuendelee kuangalia YouTube maana yajayo yanaweza kufurahisha

SAMAHANI NAULIZA KWA WEMA SIO KWA UBAYA

KAMA HUNA CHA KUCOMMENT CHA WEMA NA KIZURI USICOMMENT

Ukitaka kujutiaa ndoa oa mwanamke wa Kipare
 
Hahahahahah
Ivi unautani na wapare au?!
Wewe ni mchaga au

Nilishawahi kutoka na Mwanadada wa Kipare ila kilichotokea na nilichokishuhudia nikiwaita ' Magaidi ' wa Al Qaeda au Al Shabaab au ISIS wala sitokuwa nimekosea. Kitu pekee ambacho naweza Kukiri tena bila ya Unafiki wowote au kuwa mchoyo wa Kusifia / Kupongeza / Kukongole ni kwamba ni kweli kwa Urembo na Utundu wa Kitandani Wanawake wa Kipare ni wazuri sana na hutojutia kuwa nao ila kwa upande wa tabia / mienendo yataka moyo sana kuwa nao na kuwavumilia.
 
This is what I think
Unajitahidi sana kujaribu kunifahamu lkn kila siku unafeli hongera!
Tupo hapa kusaidia wadogozetu SIO kuuza sura kama wewe

Wewe umejuaje kama shigongo anaandika umbea kama Wewe SIO mbea addict?!

Kiru!
Majirani msinipiganie mimi
 
Back
Top Bottom