inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Jux ndala sio kipaumbele chake,wewe ndo unaona maziwa yalosimama muhimuOa mke jiridhishe mzee baba. Haya mambo unamuona mwanamke tabia nzuri ziwa ndala sura Mugabe kisa unalelewa ndio utaishia kama jamaa aliemuua mke wake kisa kamnyima hela ya biashara.