Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,065
- 18,358
Sio hawa wa bongo!Mbona wanamziki wengi wamezaa Na hawajaaribika shape?!
Beyonce is ndo huyo mama 3 Na karudisha shape?!
Uje huku vigodoro Bia Zangu Umekunywa, Chakula Umekula, Pesa Zangu Umechukua nauli nauliza Utatoa Utoi?!