Hivi Jux utamuoa kweli mtoto wa Kipare Vanessa au?!

Tuwape muda tafadhali

Hii Kauli ya ' Kipuuzi ' ya tuwape muda huwa inapatikana sana huku third world Countries na hasa hasa Tanzania ila kwa Wenzetu wenye akili na waliotutangulia mapema karibu katika nyanja zote za Kimaisha wao Kauli yao kubwa huwa ni uwazi, ukweli na kutopotezeana muda.
 
Kuna watu wanaokaaga kwenye mahusiano kwa muda mrefu bila ndoa kuliko hao wazungu? Ndoa siyo lazima ni discretion ya mtu
 
kweli kabisa
wapare ni noma kifupi ndoa zao kudumu hata mika 3 ni ngumu
 
Mi nilishasema, Jux anakaa mlangoni tu, ndani haingii nje hatoki. Kama vipi apishe njia asilete gozigozi kabla Vanessa wenyewe anazeeka.
Sio kuzeeka tu. Lile ndalasta amazing kifuani ukipiga kimoja tu cha pili ukirudia labda unaukame kutoka jela. Hapo hajazaa sasa.
 
Hey mi mparee lakini sina ugaidi wowote, am lovable and obey my boundary dear 'being a woma/mother . Don't generalize
 
ila nandhani wataona maana babu tale alisema hiyo ni kati ya project zake kipindi cha harusi ya shilole
 
Una umri gani!!?..unaangalia mdindo wa maziwa kiguani!!!?..mke ni zaidi ya ngono
Oa mke jiridhishe mzee baba. Haya mambo unamuona mwanamke tabia nzuri ziwa ndala sura Mugabe kisa unalelewa ndio utaishia kama jamaa aliemuua mke wake kisa kamnyima hela ya biashara.
 
Hili halina ubishi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…