jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Wewe hutaki injili ihubiriwe kwa mataifa..uko tayari kuskiliza mziki wa baa..siku nzima ila ibada na mafundisho hutaki..itakua na pepo wewe sio bure.Tuongee kiukweli wa Mungu,sisi wakristo wa kizazi kipya (walokole) tuna hemka sana. Waislamu ni wastaarabu sana,nimepakana na mskiti sipati kero yoyote. Turudi kwetu sasa,kuna makanisa mawili umbali wa mita 600 njia ya Kibwegere,kanisa lingine mita 200 na lingine mita700 njia panda Kibamba,yote yamefunga maspika makubwa,wanashindana wao kwa wao kufungulia. Ni kero...
Tubadilike,maombi ni ya sirini...
Tubu na uende ukaombewe
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app