Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zamani wanawake Au watoto wa kike walikua hawahesabiwi.Ukute Adam na Hawa walifyatua watoto wa kutosha.Ila ndugu walioana Wale .HUWA NAWAZA MPAKA SASA HILI JAMBO
ADAM ALIKUWA NA EVA WAKATUPA KAINI NA ABELI ....
SASA NAWAZA ....KAINI ALIMWOA NANI??
Hizo ni stori za kusadikika tu Wala usijisumbue kuwaza Fanya mambo YakoHUWA NAWAZA MPAKA SASA HILI JAMBO
ADAM ALIKUWA NA EVA WAKATUPA KAINI NA ABELI ....
SASA NAWAZA ....KAINI ALIMWOA NANI??
Afu nyie mkakatazwa kuoana ndugu Kwa ndugu 🤔Zamani wanawake Au watoto wa kike walikua hawahesabiwi.Ukute Adam na Hawa walifyatua watoto wa kutosha.Ila ndugu walioana Wale .
Nasubiri jibu lake na kuna wale watoto wa kike waliomuwekea kilevi baba yao wakalala nayeAfu nyie mkakatazwa kuoana ndugu Kwa ndugu 🤔
Adamu na Hawa hawakua binadamu pekee waliokuwepo kipindi hicho ila walikua binadamu wa kwanza katika mapokeo ya kiyahudi. Wayahudi hawakuwa wanawatambua watu wengine kama binadamu yaani wao ili utimie kuwa binadamu ni lazima uwe myahudi ndio maana katika hicho kitabu chao wanawatambua Adamu na Hawa kama binadamu wa kwanza lakini iyo cuople hawakuwa peke yao mbali na makazi yao kulikua na jamii zingine za watu ndipo Kaini akaenda kujipatia jiko uko.Huwa nawaza mpaka sasa hili jambo
Adam alikuwa na Eva wakatupa Kaini na Abeli
Sasa nawaza
Kaini alimwoa nani?
Achana na hizo hekaya za vitabu vya dini, hivyo vitabu vinapaswa kusomwa na watoto wa primary, ni moja kati ya vitabu vizuri vya hadithi za kale zisizo na uhalisia hata kidogo.Huwa nawaza mpaka sasa hili jambo
Adam alikuwa na Eva wakatupa Kaini na Abeli
Sasa nawaza
Kaini alimwoa nani?