Hakika ntakuteua uwe msaidizi wangu ntakapoukwaa ugavana wa benki kuu.Hahahaha mamndenyi wewe! Ujue ODM ana nidhamu sana akiwa ofisini sema ana mikwara mingi.. Akitaka kuleta uchokozi namwitia asali yake kongosho..
Hahahahaaa ila wenzako naona kama ndoa zao zinalegalega sanaMam,mie nishapewa hii hapa na nimeikubali ww unaonaje hapa!
Wizara ya Mahusiano na Mapenzi na Kulinda Ndoa
Waziri: Cantalisia
Naibu: SweetLady
Katibu: Husninyo
Mam hapo hakuna kudundana coz kila mmoja yuko ndani ya ndoa yake ya humu JF,kwa huu mpangilio mkianza kushindana kimavazi lazima siku moja mtadundana
tu humo ofisini.
sio kama angetufaa kwenye nafasi ya spika
Hope babu ODM akiwa na wizara ya jina hili itafaa,
Wizara ya ukaguzi na utakasishaji wa wajukuuz
Kama waziri wa mambo ya ndoa ni lzm ndoa iwe imesimama na kuwa imara km ya kwangu na papa Rejao,Hahahahaaa ila wenzako naona kama ndoa zao zinalegalega sana
Ni wewe tu umekuwa juu sana....iga mfano wetu
form 1 nilikuwa kiranja wa ulinz ktk historia ya ile shule nilivunja rekodi kwa form 1 kuwa kiongoz wa kishule ukiachilia mbali mamonitor wa madarasa. form 2 nikawa HP mpaka form 4 pia nilivunja rekod kwan miaka yote ya nyuma HP alitoka form 3.ungepewa wizara ya ulinzi itakuwa nzuri kwako
japo inagombewa, itabidi uanze kuandaa bahasha,
ambazo mimi waziri wa fedha nitakupa vijana kama akina mwali,
eliza wa tegeta, mpoleee na wengineo ili waanze kugawa kwa wajumbe mapema.
Itabidi babu ODM awe na helent za kutosha hasa wakati wa ukaguzi!!!Wasije mchezesha tu ubongo.
Ahsante sana mkuu,nawataka wabichi pia.But kwa sasa niko Bujumbura but leo jioni ntaondoka Dar.Samaki wengi mkuu!
Wabichi au wakavu?bcoz nna private car ya ofisi ambayo nilikuja kuichukua naweza nikakuletea wakiwa fresh becouse ntawagandisha barafu,pia mm ndio huwa nasafiri nao kwa utaratibu huo na wanafika dar wakiwa fresh kabisa.
We si upo dar mkuu?nijulishe unataka wa bei gani na nikifika ndio utanirudishia pesa yangu,sikuletei kibiashara,but nakuletea kama mwana jf mwenzangu.
Mam hapo hakuna kudundana coz kila mmoja yuko ndani ya ndoa yake ya humu JF,
Na itabidi tujadili na kuchagua ni suti zipi na kutoka wapi tutakua tunalipuka daile!
form 1 nilikuwa kiranja wa ulinz ktk historia ya ile shule nilivunja rekodi kwa form 1 kuwa kiongoz wa kishule ukiachilia mbali mamonitor wa madarasa. form 2 nikawa HP mpaka form 4 pia nilivunja rekod kwan miaka yote ya nyuma HP alitoka form 3.
Inshort nimependa wizara ulonipa nahis historia itajirudia.
Samaki wengi mkuu!
Wabichi au wakavu?bcoz nna private car ya ofisi ambayo nilikuja kuichukua naweza nikakuletea wakiwa fresh becouse ntawagandisha barafu,pia mm ndio huwa nasafiri nao kwa utaratibu huo na wanafika dar wakiwa fresh kabisa.
We si upo dar mkuu?nijulishe unataka wa bei gani na nikifika ndio utanirudishia pesa yangu,sikuletei kibiashara,but nakuletea kama mwana jf mwenzangu.
wewe umeonyesha nia,
kumbuka masharti na vigezo kuzingatiwa.
'like' imepotea ningekugongea.
Asprin anatakiwa awe na Wizara yake mwenyewe....
Kama inawezekana tumtafutie jina la wizara
Lol mi nilihamia Jukwaa la Matangazo....Ivo eee!sijasoma mambo yake siku nyingi,
Kule anapamudu mme wangu tu hata sijui huwa anachezaje na lile jukwaa!!!
Mie siku hizi nimeweka kambi cht chat hata mmu siku hizi nimeadimika kidogo nimenogewa na huku lol!
Tutacheki na Lizzy ili atufanyie mchakato.itabidi mpate mshauri wa mavazi,
huyu labda awe lizzy ili msije zidiana
mkaanza zongo.
Wizara ya ukaguzi na utakasishaji wa wajukuuzcantalisia jina la wizara ya babu yako please.
Teh ila siku hizi mumeo kabanwa sana jukwaa fulani hadi hakukumbuki cha mchanaKama waziri wa mambo ya ndoa ni lzm ndoa iwe imesimama na kuwa imara km ya kwangu na papa Rejao,
Ambayo hata wewe na Amy mmeiga kwetu lol!
Cv mkuu.......najivunia cv yangu.........kwa kukuhakikishia ni kwamba ntawagonga mademu wote watakao shika wizara.......kudadadadeki.
So nafasi hiyo nipewe pls.