Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,372
hii wizara ni ngumu sana wewe kuipata
ina watu wazito sana kama:
kimbweka,
blackrhino,
rungu,
gambalanyoka,
kayoka,
njowepo,
elitoro,
young_master,
jestina,
na wengine wenye majina makubwa sana
je unaweza kupambana nao.
hii wizara inatakiwa watu wenye uzoefu mkubwa na kazi ya wizara hiyo,inahitajika uteuzi makini