Teh ila mi sio kilaza...kama .comhah..hah..hah..ndo maana nikakupendekeza hapo! Tena ikizingatiwa 2015 sio mbali
Hahahha hahahha,Wala sitaki anikague...
Mkaguzi gani hatoi report ya ukaguzi??
Km akitoa report sawa
Umesahau hii ni fisadistan?mbna ufisadi mapemaaaaaaa????
Heehe hehhehAna maana jukwaa la usiku! Yeye atakua amekuona, na wewe hukumuona kwa kua wkt akiwa huku unamtambua kwa Jazz za Man U, lkn while akitumbukia kule huingia kwa Uzi wa Chelsea !
prezdaa - theboss
makamu - ashadii
prime minister - kongosho
spika - mtambuzi
waziri wa fedha - mamndenyi
ulinzi - bujibuji
Yani mm na ma cv yangu niwe katibu mwenezi?uwe katibu mwenezi na mambo ya propaganda
wa chini yako watakuwa wanaume tu tena
miaka 55 na kuendelea.
Boflo-waziri wa uwekwezaji!
kongosho-waziri wa jinsia
Teh ila mi sio kilaza...kama .com
unamtaja kongosho,
una utani na theboss wewe eeh,
tena ndo president humu hakuna aliyejitokeza kumpinga,
au umeshikilia ule msimamo wako wa kuwa 'first lady'
hapa sijui, labda maombi maalum yafanyike, kongosho ni nomaa.
Mi sijafanya maombi ya u"first lady" hiyo title ntaipata automatically iwapo erick akipata urais.. Btw the boss kumbe ndo kesha pitishwa eeh?
Chezeiya Baby ya Konnie?
Iko juu, bora uniombe hata ushostito nitakuwa sikuachi vakesheni.
Wasikutishe mumy...hakuna prezidaaaa anayefaa kama mimi basi tu sitaki kuwa msuluhishi ma maugomvi yao ya siasaMi sijafanya maombi ya u"first lady" hiyo title ntaipata automatically iwapo erick akipata urais.. Btw the boss kumbe ndo kesha pitishwa eeh?
We kongosho mi huniwezi...
Ni bahati iliyoje PM mwenyewe ndo asali ya ODM. PM, hebu twende PM tukajadili mustakabali wa benki yetu.