Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,417
yani umeandika pumba pumbaNdo ujue kusoma ni kupanua mawazo tu na si kupata pesa,tambua ya kwamba kazi si lazima iendane na ulichosoma,wanaofanya kazi inayoendana na elimu yao ni wachache na hazipo office za kuajilii wote hao,serikali na nchi zote duniani watu wamesoma lakini wanaendesha mambo yao mengine kabisa,na haipi serikali yoyote itakayo ingilia mamlaka ya MUNGU aliyo mpa mwanadamu kua kwa jasho la uso wake atakula,then ije serikali ikulishe au ikuoe kirahisi eti kwa sababu mlisoma,ondoeni fikra mfu za kua ulisoma unapaswa kuishi vzr,waingereza mliwasikiliza sana na hii elimu iliyo jaa misingi ya kigeni na sasa mnahangaika huku mkiwa mmepoteza pesa na kupewa karatasi na fikra za kujiita boss.
yani umeandika pumba pumba
Ishu ni kwamba, basi elimu inayotolewa iendane na kujiajiri. Kama najiajir kufunga nguruwe basi nifundishwe kufuga kitaalamu, kama biashara basi shule yawepo masomo ya biashara ili nilitoka inisaidie sio nisomee kufundisha kingereza halafu nikafuge ng'ombe maana ake nitahitaji elimu nyingine ya ufugaji ile ya elimu ya kwanza ni useless.Ndo ujue kusoma ni kupanua mawazo tu na si kupata pesa,tambua ya kwamba kazi si lazima iendane na ulichosoma,wanaofanya kazi inayoendana na elimu yao ni wachache na hazipo office za kuajilii wote hao,serikali na nchi zote duniani watu wamesoma lakini wanaendesha mambo yao mengine kabisa,na haipi serikali yoyote itakayo ingilia mamlaka ya MUNGU aliyo mpa mwanadamu kua kwa jasho la uso wake atakula,then ije serikali ikulishe au ikuoe kirahisi eti kwa sababu mlisoma,ondoeni fikra mfu za kua ulisoma unapaswa kuishi vzr,waingereza mliwasikiliza sana na hii elimu iliyo jaa misingi ya kigeni na sasa mnahangaika huku mkiwa mmepoteza pesa na kupewa karatasi na fikra za kujiita boss.
Ishu ni kwamba, basi elimu inayotolewa iendane na kujiajiri. Kama najiajir kufunga nguruwe basi nifundishwe kufuga kitaalamu, kama biashara basi shule yawepo masomo ya biashara ili nilitoka inisaidie sio nisomee kufundisha kingereza halafu nikafuge ng'ombe maana ake nitahitaji elimu nyingine ya ufugaji ile ya elimu ya kwanza ni useless.
Una akili fupi SanaSasa hiyo si akili yako wewe unamlaumj nani?wewe na wazazi wako ndo mnaochagua usome nini,sasa unachaguliwa na mwingine au unalazimishwa? Hv waTanzania mna shida gani kichwani? Toka unasoma wewe na washauli wako hasa wazazi ndo wanakuchagulia na wewe unakubali,sasa shida na lawama ni kwa nani
Sasa hiyo si akili yako wewe unamlaumj nani?wewe na wazazi wako ndo mnaochagua usome nini,sasa unachaguliwa na mwingine au unalazimishwa? Hv waTanzania mna shida gani kichwani? Toka unasoma wewe na washauli wako hasa wazazi ndo wanakuchagulia na wewe unakubali,sasa shida na lawama ni kwa nani
Mkuu jifunze angalau matumizi sahihi ya alama za uandishi.Hakuna shida,tumia akili unayoiamini tuone inakusaidiaje..ungekua na akili kulalamika kusingekuwepo maana mwenye akili anasonga mbele na maisha yake hayamtegemei mtu wala serikali
Mkuu jifunze angalau matumizi sahihi ya alama za uandishi.
Wapi zikae na kwanini
Then wewe unajinasibu ulienda shule while hujui hata kuandika
Uandishi mbovu una maana hata ulichokiandika ni kibovuInasidia nini iwapo unaelewa kile nilichosema
Hii ndiyo hali halisi, na niDo ukweli,VIJANA JIAJIRINI KWENYE LOLOTE
KIJANA FANYA KAZI YOYOTE.
WHAT IS THIS?