Hivi kampuni za kubeti wanatumia teknolojia gani ili wasifilisike?

Hivi kampuni za kubeti wanatumia teknolojia gani ili wasifilisike?

Kiufupi tuu jamaa mtaji wao ni mfumo basi , pesa mnakuwa mnachangiana nyie wenyewe mnaobet , wao wanatoka na chao kiulaini , ni kama mabonanza ya mchina , Yani mchina dukani anakupa bonanza machine na token tuuu, hakupi hata Mia ya kuanzia ... Ila kila sku jioni anapita na Kruger yake kukusanya hela,😁
 
Hizo token anazokupa sio hela kumbe?
 
Screenshot_20230104-233025.png
 
Hakuna uchawi ni jinsi unavocheza na fursa. Uwezi kuweka timu ishirini kwa 500 ushinde.
ukusomaga hesabu za possibility au zilikuwa zinakupita.

hiyo miatano 500x watu laki 5.

wengine timu 5 x 2000

Ukiwa na hakili hizi kampuni unaweza usiwe hata na mtaji na mtaji ukaupata hapo hapo.

Tatu mzukaaaaaa
 
Kama unabet ndugu yangu jifunze tu kupunguza matarajio kutoka kwa muhindi na team husika.

Yaani weka ile lowest possible outcome hapo utaacha hayo mawazo yako.

Haiwezekani lazio kapewa odd ya 2.1 na anacheza na team ya 14 kwenye msimamo then unaona atashinda hata wao sio wajinga mkuu. Ukijichanganya unadundwa kama dufu.

Punguza matarajio hata muhindi ana kazi na hizo pesa.
 
Back
Top Bottom