Mtu mbalimbali
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 551
- 895
kaka chimbo gani hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaka chimbo gani hili
Ile topic iliitwa probability sio possibilityHakuna uchawi ni jinsi unavocheza na fursa. Uwezi kuweka timu ishirini kwa 500 ushinde.
ukusomaga hesabu za possibility au zilikuwa zinakupita.
hiyo miatano 500x watu laki 5.
wengine timu 5 x 2000
Ukiwa na hakili hizi kampuni unaweza usiwe hata na mtaji na mtaji ukaupata hapo hapo.
Tatu mzukaaaaaa
Ile topic iliitwa probability sio possibility
Hakili? sio Akili mkuu?[emoji3062][emoji3062][emoji3062]
Kuna Documentary moja hivi ya BBC iliangazia wakamalia wa Uganda, kijana mmoja alipewa fursa kuangalia historia yake ya ukamalia tangu kaanza mpk alipo aone kapata hasara au faidaHawa jamaa Kuna uchawi wanatumia au namna yoyote ya ndumba ?mbona hawafilisiki jamani?
Ile software unaweza iprogram isindishe watu wangapi kwa siku na iwe mamilion mangapi.kuna Dogo unayaprogram haya ya makasino-Ila wamemsainisha kutoyacheza popote pale.Kila siku ana flash yake.Za Weekend ndo zinakula balaa. Hapa TZ kuna kampuni ya betting wakati wamechi za mpira. Watu wao wanacheck screen zao na wakiona bet yako ipo 80-90 kushinda wanakupigia ujitoe wanakupa lak 2 mpaka 3.Hawa jamaa Kuna uchawi wanatumia au namna yoyote ya ndumba ?mbona hawafilisiki jamani?
Inaonekana hujui mashine za kubet zinavyo fanya kazi. Kwanza matangazo yote yanaonesha washindi na hivyo kuwaaminisha watu kuwa kuna kushinda tu, hakuna kuliwa. Mashine zimetengenezwa kimahesabu kupata washindi wachache wanao liwa wengi.Hawa jamaa Kuna uchawi wanatumia au namna yoyote ya ndumba ?mbona hawafilisiki jamani?
Mkuu futa neno hakili na weka akili, jamani hata kiswahili hatujui, sisi tuna shida gani???Hakuna uchawi ni jinsi unavocheza na fursa. Uwezi kuweka timu ishirini kwa 500 ushinde.
ukusomaga hesabu za possibility au zilikuwa zinakupita.
hiyo miatano 500x watu laki 5.
wengine timu 5 x 2000
Ukiwa na hakili hizi kampuni unaweza usiwe hata na mtaji na mtaji ukaupata hapo hapo.
Tatu mzukaaaaaa
Kwa Hiyo tumedandia mtumbwi wa vibwengo🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huu mchezo una ushetani ndani yake
Mkuu futa neno hakili na weka akili, jamani hata kiswahili hatujui, sisi tuna shida gani???
[emoji35][emoji35]
Hamna cha ushetani mkuuHuu mchezo una ushetani ndani yake
Nje ya box kivip mkuuKuna Documentary moja hivi ya BBC iliangazia wakamalia wa Uganda, kijana mmoja alipewa fursa kuangalia historia yake ya ukamalia tangu kaanza mpk alipo aone kapata hasara au faida
Wakaona kaliwa mara nyingi kuliko alivyokula🤣🤣🤣
Pia Odds zilivyowekwa zinahakikisha ktk bet yoyote ule au uliwe Bookmaker ni lazima apate faida😂😂😂
Kwahiyo hakuna namna ya kawaida hii ya kubet utaweza wafilisi
Ni lazima utoke nje ya box😂😂
Sawa mkuu lakini tujaribu kuandika vizuri japo wote tunakosea. Mimi najua kuandika hata kifaransa lakini kuna makosa madogo madogo nafanya ila huwa nahakikisha kabla sijapost na review mara mbili mbili ili nisikosee labda yawe makosa ambayo mimi sijui kwa sababu siyo lugha yangu, ila wengine mnaandika kama vile hujali lolote kubwa ni ujumbe kufika, anyway nimekuelewasio lugha nayo tumia kwenye biashara zangu ni sikukele
Mfano kuna kitu ya court siding, mwtch fixing, arbitrage betting na kufanya kazi kwenye kampuni ya kubeti yenyewNje ya box kivip mkuu
Hii haisaidii utabomondwa kama kawaWala hata hakuna mbinu. Wataalamu wanakaa wanahakikisha zile odds kwa namna yoyote zinakuwa against you (mbetiji). Yani kama timu ina asilimia 50 za kushinda badala waipe odds 2.00 wao wataipa odds 1.6 hadi 1.7. Mpaka hapo wanakuwa tayari wamekulalia bila wewe kujua
Kingine ni addiction na tamaa
Wanajua kabisa hata ukishinda leo wao wakapata hasara, kwaajili ya tamaa na uraibu wako wa kamari kesho lazima utarudi tena na watarudisha hela yao na bado watakuwa na uhakika kwamba kesho yake utarudi tena na dau kubwa zaidi ya jana.
Kingine ni kubeti kimaskini:
Mtu anabeti 500 ili ashinde milioni moja, unakuta anajaza mechi nyingi kwenye mkeka mmoja huku kila mechi anayoiongeza inazidi kupunguza uwezekano wake wa kushinda. Unakuta hadi mkeka una probability ya 0.01 kushinda
Ili kujiongezea nafasi ya kushinda betting ni vizuri kuwa na mbinu za kushinda betting na kufatilia utabiri wa mikeka na mechi za kila siku
Pia ni muhimu kupunguza tamaa, kuongeza dau lako la kubeti, ndugu mbetiji usiweke Tsh. 500 ukitegemea kushinda milioni moja. Ni vyema kubeti Tsh. 100,000 ukitarget Tsh. 200,000
Na cha muhimu kabisa ni kubeti na makampuni bora ya michezo ya kubashiri Tanzania. Kampuni bora za kubeti utazitambua kwa kuangalia usajili wake. Tafadhali usibeti na kampuni ambazo hazijasajiliwa nchini. Kwenye kila website ya kubeti, scroll chini kabisa kuangalia usajili wa kampuni husika.... Makampuni yote huwa wanaweka namba zao za usajili