Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Elfu 72 bila kodi....Nimeshaapa haiwezekani nife kabla sijamiliki hata kandege kadogo kama haka wakuu.
Hivi kwa mahesabu ya harakaharaka kanaweza kuwa sh ngapi kandege kadogo kama hako hapo chini wakuu?
View attachment 3416734
View attachment 3416735
View attachment 3416736
View attachment 3416737
Hakazidi millionNimeshaapa haiwezekani nife kabla sijamiliki hata kandege kadogo kama haka wakuu.
Hivi kwa mahesabu ya harakaharaka kanaweza kuwa sh ngapi kandege kadogo kama hako hapo chini wakuu?
View attachment 3416734
View attachment 3416735
View attachment 3416736
View attachment 3416737
Kuendesha unajua?Nimeshaapa haiwezekani nife kabla sijamiliki hata kandege kadogo kama haka wakuu.
Hivi kwa mahesabu ya harakaharaka kanaweza kuwa sh ngapi kandege kadogo kama hako hapo chini wakuu?
View attachment 3416734
View attachment 3416735
View attachment 3416736
View attachment 3416737
sio lzm niendeshe mwenyeweKuendesha unajua?
Sawa mkuu ukishakanunua uniambie nije nikuendeshesio lzm niendeshe mwenyewe
Kaka heshima yakoMarekani ndege inaanzia milioni 130 full usajili.
Kuna jimbo moja marekani yani mtaa wote unandege yani kila nyumba ina parking ya ndege.
Kwa sasa kuna kampuni ya Honda ambayo inandege unaweza kusema gari ya IST yenye kubeba abiria 8 na kilo 500.
Ndege hiyo hata kama sio rubani unaweza kuendesha ila utaitaji kusoma course fupi ambayo hata dereva wa maroli anaweza kusoma.
karibu kiongoziSawa mkuu ukishakanunua uniambie nije nikuendeshe