The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Kwamba binti alijishindiaKwa hiyo picha najua alipo ...
Huyu chawa wa Magu ni Mpuuzi sana!Ninawasalimu wanajukwaa!!!
Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi?
Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa kipi huyu mzee akiwa waziri?
View attachment 3142802
Nakumbuka mauno yakeNinawasalimu wanajukwaa!!!
Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi?
Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa kipi huyu mzee akiwa waziri?
View attachment 3142802
Mwanaume mwenzako angekulishaje sasa? Hueleweki hata kidogoNilisikia kaanzisha band ya kukata mauno pale igoma mwanza ila Sina uhakika maana Sinaga muda wa kufatilia maisha ya mwanaume mwenzangu Ambae hanilishi mkuu
Alishakata moto mbona huyu kitambo!Ninawasalimu wanajukwaa!
Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi?
Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa kipi huyu mzee akiwa waziri?
View attachment 3142802
Alizeeka vbaya sanaNinawasalimu wanajukwaa!
Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi?
Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa kipi huyu mzee akiwa waziri?
View attachment 3142802
Lini mkuuAlishakata moto mbona huyu kitambo!