Hivi Kangi Lugola yupo wapi?

Hivi Kangi Lugola yupo wapi?

Nami niliona,tena anatoa kama kauli ya serekali wadudu watoke wenyewe kabla ya hatua za kisheria kuchukuliwa!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ile video inachekesha sana 😀
 
Kuna siku nimemuona yuko anafakamia viazi vya kuchemsha huko bunda.
 
Kangi alikua Kisha Anza kulirekebisha jeshi la polisi.
Angebaki Leo Polisi ingekua bora sana kiutendaji na kuacha kunyanyasa wananchi.
 
Back
Top Bottom