Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
Ile video inachekesha sana 😀Nami niliona,tena anatoa kama kauli ya serekali wadudu watoke wenyewe kabla ya hatua za kisheria kuchukuliwa!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile video inachekesha sana 😀Nami niliona,tena anatoa kama kauli ya serekali wadudu watoke wenyewe kabla ya hatua za kisheria kuchukuliwa!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwehu yuleNinawasalimu wanajukwaa!
Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi?
Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa kipi huyu mzee akiwa waziri?
View attachment 3142802