Hivi Kanisa la Askofu Gwajima ni Kanisa kweli?

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,207
Reaction score
13,839
Kanisani kama sisi wakristo tulivyolelewa ni mahali pa kumhubiri Kristo na Mungu.

Ni mahali pa kueneza upendo, amani, unyenyekevu, imani na kuokoka.

Sasa hili kanisa la mipasho la Ask Gwajima lina sifa ya kuitwa Kanisa?

Hapo ni uongo, mipasho, ushuhuda wa uongo, ligi za mabishano, ushirikina(kufufua wafu ati) na mengine mengi kumpinga Kristo.

Sasa hivi huyu "Askofu" mwenyewe amekuwa mtambo wa uchochezi hadi kuitwa Bunge kujieleza, na bado waumini wake hawasituki.

Watanzania na serikali kwa nini hatulioni hili tatizo?
 
Amedai after 5 years waliochanjwa watapata matatizo, hiyo research aliifanyia wapi? kama alisema Corona haitakuja na ikaja kumuamini Gwajima ni kupungukiwa uwezo binafsi wa kufikiri.

nanyie onesheni research inayoonesha after 5 years waliochanja hawatapata matatizo ni vema tujibu hoja kwa hoja
 
Kanisani kama sisi wakristo tulivyolelewa ni mahali pa kumhubiri Kristo na Mungu.
Ni mahski pa kueneza upendi, amani , unyenyekevu, imani na kuokoka.

Sasa hili kanisa la mipashi la Ask Gwajima lina sifa ya kuitwa kanisa?

Hapo ni uongo, mipasho, ushuhuda wa uongo, ligi za mabishano, ushirikina(kufufua wafu ati) na mengine mengi kumpinga Kristo.
Sasa hivi huyu "Askofu" mwenyewe amekuwa mtambo wa uchichezi hadi kuitwa Bunge kujieleza, na bado waumini wake hawasituki.
Watanzania na serikali kwa nini hatulioni hili tatizo?
Kile ni kikundi cha vikoba
 
umesema kanisa la Gwajima ni kanisa kweli?
sasa si ushasema kanisa
 
Kanisani kama sisi wakristo tulivyolelewa ni mahali pa kumhubiri Kristo na Mungu.
Ni mahski pa kueneza upendi, amani , unyenyekevu, imani na kuokoka.

Sasa hili kanisa la mipashi la Ask Gwajima lina sifa ya kuitwa kanisa?

Hapo ni uongo, mipasho, ushuhuda wa uongo, ligi za mabishano, ushirikina(kufufua wafu ati) na mengine mengi kumpinga Kristo.
Sasa hivi huyu "Askofu" mwenyewe amekuwa mtambo wa uchichezi hadi kuitwa Bunge kujieleza, na bado waumini wake hawasituki.
Watanzania na serikali kwa nini hatulioni hili tatizo?
Baadhi madhehebu ya kilokole yamejaa waumini waliokata tamaa ya maisha na kuwakabidhi hao matapeli kama Gwajima uwezo wao wote wa Kufikiri.
 
Kanisani kama sisi wakristo tulivyolelewa ni mahali pa kumhubiri Kristo na Mungu.
Ni mahski pa kueneza upendi, amani , unyenyekevu, imani na kuokoka.

Sasa hili kanisa la mipashi la Ask Gwajima lina sifa ya kuitwa kanisa?

Hapo ni uongo, mipasho, ushuhuda wa uongo, ligi za mabishano, ushirikina(kufufua wafu ati) na mengine mengi kumpinga Kristo.
Sasa hivi huyu "Askofu" mwenyewe amekuwa mtambo wa uchichezi hadi kuitwa Bunge kujieleza, na bado waumini wake hawasituki.
Watanzania na serikali kwa nini hatulioni hili tatizo?
Jibun hoja zake nyonyoma nyie
 
Kwani Gwajiboy mwenyewe anaseamje?
 
Back
Top Bottom