Hivi Kanisa la Askofu Gwajima ni Kanisa kweli?

Mwenye kutoa tuhuma ndiye mwenye wajibu wa kuprove tuhuma zake hivyo gwajima ni wajibu wake kuprove, kwanza kwa mini iwe baada ya miaka mitano?

wanaotaka tuchanje ndiyo wenye kazi ya ku prove kua ndani ya miaka mitano hakutakuwa na madhara sio gwajima ye kaongea kamaliza,
 
Kanisani kama sisi wakristo tulivyolelewa ni mahali pa kumhubiri Kristo na Mungu.

Ni mahali pa kueneza upendo, amani, unyenyekevu, imani na kuokoka.

Sasa hili kanisa la mipasho la Ask Gwajima lina sifa ya kuitwa Kanisa?

Hapo ni uongo, mipasho, ushuhuda wa uongo, ligi za mabishano, ushirikina(kufufua wafu ati) na mengine mengi kumpinga Kristo.

Sasa hivi huyu "Askofu" mwenyewe amekuwa mtambo wa uchochezi hadi kuitwa Bunge kujieleza, na bado waumini wake hawasituki.

Watanzania na serikali kwa nini hatulioni hili tatizo?
Mada za namna hii tutazisoma sana na nyingine nyingi zitakuja, zote hizi ni ile "kujipiga kidole cha matakho kisha una lamba".Unajitekenya mwenyewe unacheka mwenyewe.
Kanisa la Gwajima lipo miaka nenda miaka rudi, hii ya kuhoji uhalali wake leo hii unatokea wapi? Je ni tangu asimame kinyume na chanjo?

Kama mapungufu ya kanisa, mbona kuna makanisa mengine mengi yanapangufu ? Vip kuhusu lile la kuuza upako? mpaka watu wakafa kule moshi kilimanjaro! Ni kanisa gani unalo ona ni sahihi kwako? la nabii tito? Au yule mwenye kugawa pesa kanisani?

Kwani kujieleza bungeni ndio nini? hivi unajua wakati wa vikao vya bunge makahaba wanaweka kambi kule kufanya vikao vya siri wakati wa usiku na wadau wao?.Kuna utakatifu hapo?

Polepole anauliza hivi"hii chanjo ukichanjwa itakulinda kwa muda gani? polio, ndui, pepopunda, manjano, homa ya ini ulikuwa ukichanjwa inadumu mwilini mwako maisha yako yote. Yeye hana kanisa hana sehemu ya kutolea mipasho. JIBUNI HOJA KWA HOJA

sasa endeleeni kujipiga vidole, mkishindwa sisi tupo.
 
Kwa hili umepotoka.

Nabii Eliya alifufua, Elisha alifufua, Yesu alifufua, mtume Paulo alifufua, nk..
Kwahiyo gwajima nabii mtume au mwana wa Mungu (Yesu)? Maana kwenye Bible hakuna sehemu imeandikwa maaskofu, wachungaji walifufua wafu.
 
Kakijiwe Cha jumapili Wana wanaenda na mavuvuzela full kupiga kidedea wakitaoka hapo wanaacha sadaka na demu mzuri anakua chakula yake
 
nanyie onesheni research inayoonesha after 5 years waliochanja hawatapata matatizo ni vema tujibu hoja kwa hoja
Wewe lete hiyo research inayoonesha kuwa watapata matatizo ndo uulize research ya kwamba watapata Matatizo.
Vinginevyo wewe na hao wote Ni wapiga ramli chonganishi.
 
mkuu unaelewa maana ya chanjo au kinga?
 
Kwa hili umepotoka.

Nabii Eliya alifufua, Elisha alifufua, Yesu alifufua, mtume Paulo alifufua, nk..
Ha ha ha sasa yeye amemfufua Mani aisee?...ingekuwa kweli so angemfufua rafiki yake aliyekuwa akisema wakati ule nileteeni G...Mmm tusidanganyane kwa hili!!! Maandiko yanasema Yesu anafufua....Gwaji boy anafufua kwa mashart gani hembu naomba jamaa unitoe ushamba yawezekana Mimi ndo sielewi hembu fafanua kdg...
 
nanyie onesheni research inayoonesha after 5 years waliochanja hawatapata matatizo ni vema tujibu hoja kwa hoja
Chanjo ni bidhaa inayotokana na Sayansi......chanjo na siasa/dini wapi na wapi...mmmm!
 
Siasa na dini ni ndg havitengani fahamu hilo kwanza, alafu ivi unajua maana ya chanjo?
 
Mada za namna hii tutazisoma sana na nyingine nyingi zitakuja, zote hizi ni ile "kujipiga kidole cha matakho kisha una lamba".Unajitekenya mwenyewe unacheka mwenyewe.
Kanisa la Gwajima lipo miaka nenda miaka rudi, hii ya kuhoji uhalali wake leo hii unatokea wapi? Je ni tangu asimame kinyume na chanjo?

Kama mapungufu ya kanisa, mbona kuna makanisa mengine mengi yanapangufu ? Vip kuhusu lile la kuuza upako? mpaka watu wakafa kule moshi kilimanjaro! Ni kanisa gani unalo ona ni sahihi kwako? la nabii tito? Au yule mwenye kugawa pesa kanisani?

Kwani kujieleza bungeni ndio nini? hivi unajua wakati wa vikao vya bunge makahaba wanaweka kambi kule kufanya vikao vya siri wakati wa usiku na wadau wao?.Kuna utakatifu hapo?

Polepole anauliza hivi"hii chanjo ukichanjwa itakulinda kwa muda gani? polio, ndui, pepopunda, manjano, homa ya ini ulikuwa ukichanjwa inadumu mwilini mwako maisha yako yote. Yeye hana kanisa hana sehemu ya kutolea mipasho. JIBUNI HOJA KWA HOJA

sasa endeleeni kujipiga vidole, mkishindwa sisi tupo.
Badala ya kudadavua liturgia ya Neno Takatifu kama linavyoenezwa kimakosa na Gwajima , wewe una liturgia ya kujitia kidole matakoni.
Sishangai nawe ni wa hovyo zaidi kuliko Gwajima.
 
Back
Top Bottom