masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Kwa hili umepotoka.ushirikina (kufufua wafu ati)
Amedai after 5 years waliochanjwa watapata matatizo, hiyo research aliifanyia wapi? kama alisema Corona haitakuja na ikaja kumuamini Gwajima ni kupungukiwa uwezo binafsi wa kufikiri.mi nazani mjibu hoja zake tu hamna namna
Mtu muongo ni agenti wa Ibilisi.Sasa mbona umeanza na tuhuma?
Amedai after 5 years waliochanjwa watapata matatizo, hiyo research aliifanyia wapi? kama alisema Corona haitakuja na ikaja kumuamini Gwajima ni kupungukiwa uwezo binafsi wa kufikiri.
Sijawahi kumsikia akimshuhudia mtu UONGO.Umeshawahi kuhudhuria mahubiri ya askofu Shoo?
Kile ni kikundi cha vikobaKanisani kama sisi wakristo tulivyolelewa ni mahali pa kumhubiri Kristo na Mungu.
Ni mahski pa kueneza upendi, amani , unyenyekevu, imani na kuokoka.
Sasa hili kanisa la mipashi la Ask Gwajima lina sifa ya kuitwa kanisa?
Hapo ni uongo, mipasho, ushuhuda wa uongo, ligi za mabishano, ushirikina(kufufua wafu ati) na mengine mengi kumpinga Kristo.
Sasa hivi huyu "Askofu" mwenyewe amekuwa mtambo wa uchichezi hadi kuitwa Bunge kujieleza, na bado waumini wake hawasituki.
Watanzania na serikali kwa nini hatulioni hili tatizo?
Baadhi madhehebu ya kilokole yamejaa waumini waliokata tamaa ya maisha na kuwakabidhi hao matapeli kama Gwajima uwezo wao wote wa Kufikiri.Kanisani kama sisi wakristo tulivyolelewa ni mahali pa kumhubiri Kristo na Mungu.
Ni mahski pa kueneza upendi, amani , unyenyekevu, imani na kuokoka.
Sasa hili kanisa la mipashi la Ask Gwajima lina sifa ya kuitwa kanisa?
Hapo ni uongo, mipasho, ushuhuda wa uongo, ligi za mabishano, ushirikina(kufufua wafu ati) na mengine mengi kumpinga Kristo.
Sasa hivi huyu "Askofu" mwenyewe amekuwa mtambo wa uchichezi hadi kuitwa Bunge kujieleza, na bado waumini wake hawasituki.
Watanzania na serikali kwa nini hatulioni hili tatizo?
Mada yako haihusu kuhubiri uongo tu, inahusu kuhubiri mambo irrelevant pia.Sijawahi kumsikia akimshuhudia mtu UONGO.
Jibun hoja zake nyonyoma nyieKanisani kama sisi wakristo tulivyolelewa ni mahali pa kumhubiri Kristo na Mungu.
Ni mahski pa kueneza upendi, amani , unyenyekevu, imani na kuokoka.
Sasa hili kanisa la mipashi la Ask Gwajima lina sifa ya kuitwa kanisa?
Hapo ni uongo, mipasho, ushuhuda wa uongo, ligi za mabishano, ushirikina(kufufua wafu ati) na mengine mengi kumpinga Kristo.
Sasa hivi huyu "Askofu" mwenyewe amekuwa mtambo wa uchichezi hadi kuitwa Bunge kujieleza, na bado waumini wake hawasituki.
Watanzania na serikali kwa nini hatulioni hili tatizo?
Jibun hoja zake nyonyoma nyie
Kwani Gwajiboy mwenyewe anaseamje?Kanisani kama sisi wakristo tulivyolelewa ni mahali pa kumhubiri Kristo na Mungu.