Hivi Kanisa la Askofu Gwajima ni Kanisa kweli?

Labda suala la chanjo limetufanya wengine kutaka kumwelewa zaidi Gwajima. Kwangu binafsi nimeona ni mtu anaependa kusikika, kuonekana wa tofauti, mjuvi na hivyo yuko tayari abishane hata na dunia nzima ili mradi afanikishe "agenda" yake. Siamini kwamba hapa "agenda" yake ni madhara yatakayoletwa na chanjo. Hivi hatuoni kwamba ile kauli ya kuwa "tangu (fulani) afariki mambo yanaenda ovyo" ina ujumbe mkubwa kuliko hata hilo suala la chanjo yenyewe? Nikitafakari kwa kina naiona chanjo ikitumika kama kivuli tu. Tafakarini, "linalojamba ni tumbo, matako ni spika tu".
 
Badala ya kudadavua liturgia ya Neno Takatifu kama linavyoenezwa kimakosa na Gwajima , wewe una liturgia ya kujitia kidole matakoni.
Sishangai nawe ni wa hovyo zaidi kuliko Gwajima.
🤣🤣🤣 , ndio uzuri wa JF UNAEZA BISHANA NA BABAKO WA KUFIKIA BILA WEWE KUJUA
 
Serikali haina dini, wafuasi wake wajitambue wenyewe.
 
ww ndo mwenye tatizo nenda kahabudu unako habudu achana na askofu wetu
 
Lile si kanisa bali dangulo na kitega uchumi cha kumuingizia fedha na kutafutia ujiko kisiasa. Gwajiboy ni tapeli kama matapeli wengine hasa wanaotumia neno la mungu.
 
Kichwa Cha habari umeuliza swali.badala usubiri majibu ukaanza kutoa shutuma tukuelewaje sasa?
 
Kwa hili umepotoka.

Nabii Eliya alifufua, Elisha alifufua, Yesu alifufua, mtume Paulo alifufua, nk..
Ndan ya Mwendelezo wa nk....
Gwajboy anafufua watu

Gwaj yupo ktk chain ya wafufuaji hahaha.watanzania levo yetu ya ujinga n kubwa sana aisee
Yan tunapelekwa pelekwa tu hata hatustuki

Bible inasema unabii ulkoma kpind cha yetu uko

Kuna hawa wengine wakanyaga wese utawaonea ad huruma hawastukii wala hawaoni mchezo wa kisaikolojia unavyofanya kaz yake...

Acha magugu na ngano vkuwe pamoja ipo siku vtajtenga.. that's bible
 
Kania
Kanisa la shetani mwenyewe linalo mpangia Roho mtakatifu Cha kuhubiri dunia nzima
 
Yohana 14:12
Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.

Hiyo ni kauli ya YESU mwenyewe.
Tumwamini yeye au wewe?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…