Hivi Karia lini anamaliza muhula wake wa Uongozi?

Hivi Karia lini anamaliza muhula wake wa Uongozi?

Hiyo kufuzu ni mara moja tu tena tumefuzu kwa msaada wa algeria, pia ile ya nyuma tulifuzu kwa msaada wa ug
Kama kwenye Uongozi wake tutaendelea kufuzu kwa msaada wa fulani then ni poa sana tuendelee kuwa naye kwani tutaendelea kupata hiyo
"Kwa msaada wa"
 
Aliyemuweka akitoka Karia naye atatoka, ila Yanga itaendelea kupaa atake asitake, ajiuzulu asijiuzulu.
Hii itaendelea kumuumiza.
 
Karia kafanya makubwa kwenye soka la tanzania hila na chuki dhidi ya watu wa yanga ni ushatena na roho mbaya na hata akitoka usihsangae akaingia ambae hata ni shabiki wa simba na akaleta legancy mbaya ambayo ikakuumiza zaid ukamkumbuk huyo karia chuki zenu na roho mbaya mbaya kwa haziwez kukusaidia jikite kutaft maisha yako na familia wale
 
Back
Top Bottom