Hivi Kariakoo ni kweli kuna Fremu za 3M-5M au ni kutishana tu?

Khaaaaaa.

Kuniachia kale kachumba nikupe 35M?

Halafu nianze tena kodi? Mimi kama nimekufuata ukanitajia hivyo naweza nianguke kwa mshtuko.

Au nikucheke mpk nianguke.
Kama kale ka chumba anakuachia kwa 35m. Sasa 3m-5m za frem ndo zipi tena? Bado sijamwelewa huyu jamaa
 
Kuna jamaa yangu yupo Jangwani na karikoo analipa 250k
 
Sababu kule K'koo unalipia na vyakula vya mandondocha ya wenye hizo fremu, ndiyo maana bei inakuwa kubwa hivyo.
 
Sababu kule K'koo unalipia na vyakula vya mandondocha ya wenye hizo fremu, ndiyo maana bei inakuwa kubwa hivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23]kuna mtu alisemaga humu eti k.koo
Ukienda usiku halafu ukawa na jicho la pili, Utaona mandondocha wamevaa sare kama wanafunzi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kuna mtu alisemaga humu eti k.koo
Ukienda usiku halafu ukawa na jicho la pili, Utaona mandondocha wamevaa sare kama wanafunzi
Yaani pale kuna maajab kishenzi na ndiyo maana Waha na Wapemba (washirikina wote hawa) wanapenda sana kuishi kule hata kama kazi ya ulinzi wao wako tayari kufanya ili tu wapate fursa ya kushinda Kariakoo usiku.
 
Kariakoo ndiyo kulivo kilemba tu kama huna 30 humtoi mtu tena unakuta anakuachi fremu tupu, daah wakinga nilikuwa nawaona hawa ndio wazee wa kuwavua watu, kuna watu wanavuliwa kwa dau zuri wote kama walivo mzee. Mkinga mmoja huyo alitaka fremu tano akamwaga pesa kama yote yaani zote ziwe zake 😅

Hapa karume kwenye viatu huna 8mil huchukui meza
 
Kariakoo ni kijiji cha biashara....inawezekana wengine mnaishiaga tu pale sokoni ndio maana mnalinganisha na kituko cha dodoma
 
Nilijilundika Mwaka mzima nifanye business flan, juzi nafika kwenye fremu niliyokua nai target nauliza Kodi naambiwa 1M, na nalipia si chini ya miezi 6..
Nilinyong'onyea sana maana hapo pesa ya kodi itakua kubwa zaidi ya Mtaji nitakaoingiza..
Hapo ukibugi tuu imekula kwakoo, Nimewaza hapa either nipateme au kuna mshkaji tu share, Yeye business yake na mimi yangu,
NOTE : ni biashara zinazoendana ila hazifanani.
 
Mkuu mbona we ndogo minimeambiwa 1.5m kilemba 20m
 
Sina uzoefu nabiashara yoyote ndani yakariakoo...ndo nataka kuingia ktk business kariakoo
Ujue Kariakoo wengi pale wanahamia tuu ila sio kuanza, ameshafanya biashara husika kwa mda mrefu, ana backup plan, ana mtaji mzito, inahitaji utulivu sana, binafsi kwa k.koo nimestep down kdg, japo nina wateja tayari ila ngoja nianzie pembeni kdg
 
Mim sijafanya biashara husika nayotaka kuifanya kariakoo ila nshafanya biashara nyinge kabisa mkoani ya vyakula na vinywaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…