Zipo mtaa wa Kipata na Swahili pale ni USD 2,000+ wauza hardware na wenye maduka ya dawa ni kuanzia mil 4 kwenda juu.
Btw kodi ya milioni 5 inalipika ina maana kama utafungua duka siku 25 kwenye mwezi mmoja,
5,000,0000÷25days= 200,000 kwa siku
So kwa siku lazima upate profit ya kuanzia laki 2 ili uweze kulipa kodi na vitu vingine.
Let's say kwa siku
Kodi..........................200,000
Wafanyakazi ............60,000
Umeme ....................10,000
Taka...........................1,000
Tra.............................20,00
VaT...........?
Matumizi mengine 100,000
Akiba ......................500,000
Jumla .................891,000
Mzunguko wa huyu mfanyabiashara mkubwa ukiwa na mauzo ya 10mil kwa siku, hiyo kodi inalipika kabisa.
Tatizo la wengi hamna mitaji ndo maana unafikiri hakuna kodi ya milioni 5 Kariakoo. Zipo sana