Hivi Kariakoo ni kweli kuna Fremu za 3M-5M au ni kutishana tu?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Una laana si bure.
Wewe ni Ke?
Kama sio ke,nakukumbusha tu kuna vijana wenzio ni mabilionea katika umri wa miaka 20.Wewe unalalamika baba yako hakukujengea ghorofa kariakoo ili uwe unachukua kodi!
Ndio maana mnaolewa na kuharibiwa
 
😅😅😅😅😅
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wewe una jingne sio bure..
Kunywa Maji Boss,
 
Una laana si bure.
Wewe ni Ke?
Kama sio ke,nakukumbusha tu kuna vijana wenzio ni mabilionea katika umri wa miaka 20.Wewe unalalamika baba yako hakukujengea ghorofa kariakoo ili uwe unachukua kodi!
Ndio maana mnaolewa na kuharibiwa
Tuanze na wewe. Ulikuwa bilionea ukiwa na miaka ishirini na ngapi? Na katika ukoo wenu, tukianza na your neclear family, kaka zako na dada zako walikuwa mabilionea wakiwa na miaka ishirini na ngapi? Au unataka kutuletea story za vijiweni za mwamba kwenda Merelani akaondoka na 5kg za Tanzanite?
 
Kuna Mzee humu ndani unamtumia ujumbe ama nini? Maana kama umetumwa hivi.
 
Frame ya Tsh 3m Kwa mwezi utakuwa unauza nini hapo ili ulipo Kodi na malipo ya serikali?

Labda madawa ya kulevia
Chifu, Kariakoo kuna biashara kubwa sana pale. Imagine mtu anayechukua bidhaa kwa kontena kutoka China, na zikifika anauza kwa jumla au anasambaza bidhaa kwa Machinga. Sasa mtu kama huyo anashindwaje kulipa 5M kwenye mitaa yenye biashara kama Tandamti, Congo, Msimbazi, Swahili na mingine kama hiyo? Usisahau, biashara ya K/koo inabeba hadi wateja wa nchi jirani.
 
Zipo mtaa wa Kipata na Swahili pale ni USD 2,000+ wauza hardware na wenye maduka ya dawa ni kuanzia mil 4 kwenda juu.

Btw kodi ya milioni 5 inalipika ina maana kama utafungua duka siku 25 kwenye mwezi mmoja,
5,000,0000÷25days= 200,000 kwa siku
So kwa siku lazima upate profit ya kuanzia laki 2 ili uweze kulipa kodi na vitu vingine.

Let's say kwa siku
Kodi..........................200,000
Wafanyakazi ............60,000
Umeme ....................10,000
Taka...........................1,000
Tra.............................20,00
VaT...........?
Matumizi mengine 100,000
Akiba ......................500,000
Jumla .................891,000

Mzunguko wa huyu mfanyabiashara mkubwa ukiwa na mauzo ya 10mil kwa siku, hiyo kodi inalipika kabisa.

Tatizo la wengi hamna mitaji ndo maana unafikiri hakuna kodi ya milioni 5 Kariakoo. Zipo sana
 
Ila mkuu vipi upatikanaji wa frem ni wa uhakika?
 
Ha ha a. Kuna watu mmejaaliwa kunarrate vitu perfectly ase
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…