MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
ramili ni imani potofu ya ushirikina wa kimaskini sana gentlemanPolepole alisema "Samia na Kikwete watanyongwa".
Kazi ya kuanza kuwasafirisha Askari wa Tanzania nje ya nchi itaanza siku si nyingi.
Wataenda kusema kila kitu kilichotokea October 29, wapi Watu walifukiwa na vitisho vyote walivyopewa.
Siku tukiikamata nchi hii utakuwa chakula cha mambaramili ni imani potofu ya ushirikina wa kimaskini sana gentleman
badala ya kumove on unakua stucked kindezi hivyo aise?🐒
Warioba alionya kuunda tume ya jinaiHabari nzuri sana sasa sijui ni y kweli?
labda utakamata maskio yako gentleman 🐒Siku tukiikamata nchi hii utakuwa chakula cha mamba
Kama yale mabumunda yaliyoenda airportHii ni nchi ya wafu tusubili tu labda kizazi ca 2020 ndio kitaleta mabadiliko hichi cha uchawa kuanzia wazee Hadi vijana hapana
Utawala wa Samia umetengeneza conditions zaidi ya 4 za Civil war.Duuh
Mungu atunusuru.Utawala wa Samia umetengeneza conditions zaidi ya 4 za Civil war.
Kumteka Polepole was biggest mistake utawala wa CCM ulifanya.
Polepole ni mjamaa anayejua diplomasia, angewasaidia kuongea na Dunia.
Samia akaenda mbali akamteka Lissu
Hisia zangu:
Hii tume inaenda kuwarushia kesi za jinai wanaharakati na kuwagusa Askari polisi wachache Sana wa vyeo vya chini.
Kwa minajili hiyo hii tume inaenda kuhamsha mambo mengine ambayo yatakuwa chanzo cha kelele nyingi sana na huenda ikazusha mgogoro mwingine mkubwa zaidi utakao zalisha waasi.
I'm talking about the beginning of civil war and militias, if we are not smart.