Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 17,119
- 32,195
Hisia zangu:Ni kuwachunguza polisi na wahamasishaji walioko nje, wale waandamanaji wengi ni ndani ya wale 518, wengine kwa vile waliisha shikwa na kushitakiwa kisha kusamehewa, hawawezi kushitakiwa tena.
P
Hii tume inaenda kuwarushia kesi za jinai wanaharakati na kuwagusa Askari polisi wachache Sana wa vyeo vya chini.
Kwa minajili hiyo hii tume inaenda kuhamsha mambo mengine ambayo yatakuwa chanzo cha kelele nyingi sana na huenda ikazusha mgogoro mwingine mkubwa zaidi utakao zalisha waasi.
I'm talking about the beginning of civil war and militias, if we are not smart.
Akili inaniambia kuundwa kwa hii tume ni kuzima vuguvugu la mchakato wa kufunguliwa kesi ICC watoa amri au maamuzi huko serikakini kwa yaliyotekelezwa October 29.
Hapa watapatikana mbuzi wa kafara.
Mabeberu watapewa ulaji kwenye maliasili au mikataba ya kinyongaji ya kibiashara kuwatuliza wasishikie bango.
Mfano hai:
Kifo cha Jamal kashogi.
Baadhi ya wadau wa serikali ya wamarekani kushauri serikali yao isiwezeshe mchakato wa kuchunguzwa na kushitakiwa mwana mfalme (Sultani) wa Saudi Arabia ili wasikose mikataba ya kibiashara na Saudia.