Hivi kati ya Jay Z na Eminem nani zaidi kwenye Rap?

Hivi kati ya Jay Z na Eminem nani zaidi kwenye Rap?

Guys mambo vipi.

Poleni na majukumu ya hapa na pale. Nina swali dogo tu.

Hivi kati ya Jay Z na Eminem nani zaidi kwenye Rap (HipHop kwa ujumla)?
Eminem is the best Rapper, Jay Z amefanikiwa kutengeneza hela ndefu wala si best rapper, not even close to it.
 
Tafuta wimbo uitwao Renegade wa hao wawili uusikilize....jibu lako lipo humo
 
Kiuandishi Jay Z is the tafuteni na msikilize nyimbo za Jay Z kwa makini, mstari kwa mstari yule jamaa anajua kuiandika fasihi. Fatilieni wimbo unaitwa HISTORY n.k.
Slim shady hata usipokuwa makini anakukonga mzee, yaani angekuwa black mngemzungumza zaidi ya hivi
 
Hahaha Eminem mwenyewe aliwahi kukiri Jay Z ni his favourite rapper. Tatizo kipindi cha Eminem kukimbiza Jay Z alishafanya makubwa halafu huku kwetu dunia ilikuwa slow.
Jay Z tangu anaanza kasikilize na kusoma mashairi ya wimbo kama in my lifetime, sikiliza Blue Print 3,Magna Carta Holy Grail.
 
Magwiji wa RAP ukimzungumzia Eminem basi wanamuelewa kwa Vibao vyake Vikali kama RapGod, Godzilla, I'm not Afraid, na tuenda kwa mtaalamu JAY-Z basi huwezi acha kutaja ngoma zake kama Big Pimper, This Can't be life.

GettyImages-88151613.jpg


Swali ni je nani ni Mkali wako kwenye Tasnia hii ya RAP na kibao chake gani unakikubali sana
 
Nyie mnaumwa kweli jay,eminem wote hawafiki kwa NAS
 
Nyie mnaumwa kweli jay,eminem wote hawafiki kwa NAS
 
Em anatumia nguvu sana Jay anasukuma mlevi ... jay ameperfect rap skill yake haitaji kutumia nguvu tena.
Kamskilize jay kwenye renegade utajua na maanisha nini
 
Kutofanana kwao ndo kumefanya kuwe na mjadala Kwa hiyo huwez kusema huyu karelax yule anatumia nguvu
Em anatumia nguvu sana Jay anasukuma mlevi ... jay ameperfect rap skill yake haitaji kutumia nguvu tena.
Kamskilize jay kwenye renegade utajua na maanisha nini
 
Back
Top Bottom