Hivi kati ya Jose Chamelione na Diamond Platnumz nani ana pesa?

Kuanza kumsikia mtu zamani si kigezo cha kumfanya awe na pesa ndefu.
Kuna watu wameanza game kitambo lakini wanapitwa mpunga na walioanza game miaka minne iliyopita.
Mfano mzuri ni huyohuyo mond na kibakuli kibakuliwa siku nyingi alafu mond kampita kimkwanja
 
Kuanza kumsikia mtu zamani si kigezo cha kumfanya awe na pesa ndefu.
Kuna watu wameanza game kitambo lakini wanapitwa mpunga na walioanza game miaka minne iliyopita.
Kizuri zaidi milardAyo leo kaonyesha listi ya wanamuzi 5 bora wenye mpunga mrefu Africa. 1 P score 2 demu fulan wa kenya 3 Davdo 4 Wizkid 5 mond
 
Diamond ana watoto watano chamelleon anao watatu... So kwa utajiri wa dunia na akhera diamond zaidi...
 
Naona umetumia avatar ya bradha Nyani Ngabu una ithibati yoyote kutoka kwake
 
Kizuri zaidi milardAyo leo kaonyesha listi ya wanamuzi 5 bora wenye mpunga mrefu Africa. 1 P score 2 demu fulan wa kenya 3 Davdo 4 Wizkid 5 mond
Psquare ila hv unaweza fananisha davido au wizikid na dbanj au tuface... Sijui lakini
 
Nafikiri jibu umelipata hivi majuzi imetolewa rippoti kuwa Diamond yuko top five ya wasanii wa Afrika wenye mshiko
 
Hivi chameleone na platnumz nani ana pesa kuliko mwengine?
Umetaja watu watatu mzee km sikosei Diamond,Chameleone na mwengine
Sasa sijui huyo mwengine ni ndio nani au ndio Ali kiba nn mkuu?
 
Hatutaki porojo mie nimeweka Mali za J Chameleon hapo juu.Ninyi mnaosema Diamond ana Pesa kuliko Chameleon wekeni Mali zake hapa alafu tafananishe nani zaidi.Acheni ushabiki Wa kusifia ujinga ,eti nyumba South!!Nyumba yenyewe thamani yake million 400 hata nyumba ya Navy Kenzo ina thamani zaidi.
 
Huyo diamond wa kulinganishwa na masanja kwa pesa leo hii ndo umfananishe na chameleone? Kuna watu wanapesa zao ila unaweza kuta hawana sifa za kijinga kama huyo dai. Kuna mtu unaweza kuta ana 35000/= tu mfukoni ila akavimba na kuleta mbwembwe kwenye bata kama ana mamilioni, wakati kuna ma-don wana mkwanja mrefu unakuta wametulia tuu hawana habari. Acheni kumfananisha chameleone na vitu vya kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…