magangawamaganga
Member
- Oct 13, 2016
- 79
- 32
Mfano mzuri ni huyohuyo mond na kibakuli kibakuliwa siku nyingi alafu mond kampita kimkwanjaKuanza kumsikia mtu zamani si kigezo cha kumfanya awe na pesa ndefu.
Kuna watu wameanza game kitambo lakini wanapitwa mpunga na walioanza game miaka minne iliyopita.