Hivi kati ya Jose Chamelione na Diamond Platnumz nani ana pesa?

Hivi kati ya Jose Chamelione na Diamond Platnumz nani ana pesa?

kweli wewe ni kiazi ndiyo maana akili yako inawaza mabasha tu na kubattle.
No wonder you have no point unajisifia sifia tu.
Punguza hasira za kupigwa na maisha kijana fanya kazi najua inakuuma mtoto wa Tandale form two kutoboa wakati wewe ukisubiri kurithi chumba.
Ila hizo hasira zielekeze katika kutafta usiwe na hasira na watu kijana.

Sawa Mr. geneous.
 
Diamond hana hela aliyo nayo Jaguar wa Kenya!
 
Samahani Mkuu kabla sijakubali kuwa Mimi ni mjinga kama ulivyosema naomba kujua hilo neno la ' geneous ' uliloliandika hapo umelitoa wapi? Halafu kuna mahala ' ulijigamba ' kuwa umesoma nchini Uganda ila kwa ' upopoma ' wako huu umeshanifanya nisiamini kuwa kweli ulisoma Uganda na umetudhalilisha Watanzania wote tuliosoma nchini Uganda na kuwadhalilisha pia Waganda wenyewe wenye hiyo lugha yao. Nimekudharau kunakotukuka!
Kweli wewe pia ni mshamba unaona kusoma uganda ni big deal.
Na waliosoma u.k na u.s.a waseme nini?
uganda nchi masikini tu kama sisi na kingereza chao kibovu bovu and by the way hiyo ni typing error.
Yani we ni mshamba kweli kwa hiyo wewe kwako kusoma uganda ni big deal sana dah kijana siku ukifika south utaanzisha thread humu jf kabisa.
 
Chameleon hana nyumba south, hana mkataba na universal,unaweza kuwa kwenye game kitambo lakini ukazidiwa na mtoto wa juzi
We mshamba wa kutupwa Dustbin kwel kwel kumbe ukiwa na nyumba South ndo unakua Tajir ???? Mfatilie Vizur Chameleon utajua anamilik nn U.S.A
 
Kweli wewe pia ni mshamba unaona kusoma uganda ni big deal.
Na waliosoma u.k na u.s.a waseme nini?
uganda nchi masikini tu kama sisi na kingereza chao kibovu bovu and by the way hiyo ni typing error.
Yani we ni mshamba kweli kwa hiyo wewe kwako kusoma uganda ni big deal sana dah kijana siku ukifika south utaanzisha thread humu jf kabisa.

Ni typing error au ni ' ubongo ' error? Nijibu Mr. geneous.
 
Kuna Watu niliposema kuwa Diamond Platnumz si chochote ' Kiutajiri ' kwa Mganda Jose Chameleone na hadi tukajitolea kuwapa ' facts ' chache za kuwasaidia ' wakabisha ' na kusema kuwa nina ' majivuno ' lakini nashukuru Mungu Mkuu Wewe umeenda mbali zaidi na kuja na taarifa ya Jarida linaloheshimika duniani la Forbes na kuweka hiyo orodha hapo ya Wanamuziki / Wasanii wenye ' mtonyo ' Afrika na nimejaribu kutuliza macho yangu nimwangalie Diamond kama yupo sijamwona ila Jose Chameleone namwona hapo # 10. Haya mliokuwa ' mkibisha ' hebu bishieni basi na ushahidi huu ' kuntu ' kabisa wa Forbes.
Hiyo habari niliiona miaka mi5 iliyopita na wewe ulivyo killaza umeichukua kama ilivyo
 
Hiyo habari niliiona miaka mi5 iliyopita na wewe ulivyo killaza umeichukua kama ilivyo

Yako Wewe ' Kipanga Pori ' ya leo iko wapi? Mtu ' mwerevu ' huwa anapobisha basi huja na ushahidi wa ' kidata ' ili kukipinga kile asichokiamini. Hata hivyo kwa post yako tu hiyo Watu watapima kati yangu na wewe nani ni K.i.l.a.z.a na nani ni Kipanga.
 
Jamaa una mipasho ka mwanahawa
 
Mshamba anayejivunia kusoma uganda acha ulimbukeni dogo usiwe na hasira na maisja

Sawa nakubalina na yote Mkuu ila naomba tu kujua je huko kukosea kwako hilo neno ni typing error au ni ' ubongo ' error? Nasubiri jibu langu Mr. geneous.
 
Sawa nakubalina na yote Mkuu ila naomba tu kujua je huko kukosea kwako hilo neno ni typing error au ni ' ubongo ' error? Nasubiri jibu langu Mr. geneous.
Mwanahawa umenichosha maana naona unazidi kuni downgrade to your own level...
Nimekupa ushindi mwanahawa mipasho siiwezi
 
Mimi mwenyewe nimesoma Uganda since 1996 primary yote na O level yote.
And by the way hoja yangu ilikuwa mtu kuanza kusikika kitambo siyo hoja ya kumfanya awe na pesa nyingi.
Hakuna sehemu nimebisha kuwa chameleone ana ela zaidi ya diamond ila nimepingana na kigezo chako ulichotumia kufikia hiyo conclusion.
Ok hongera kwa kusoma Uganda. Bottom line diamond hamzidi chameleon kwa lolote.umaarufu,pesa,asset hata fans.Uganda mziki wao una identity sio sisi kutwa kuiba Nigerian music.
 
Sawa nakubalina na yote Mkuu ila naomba tu kujua je huko kukosea kwako hilo neno ni typing error au ni ' ubongo ' error? Nasubiri jibu langu Mr. geneous.
Mwanahawa hata ukijibiwa huelewi unachoelewa na mabasha tu
 
Ok hongera kwa kusoma Uganda. Bottom line diamond hamzidi chameleon kwa lolote.umaarufu,pesa,asset hata fans.Uganda mziki wao una identity sio sisi kutwa kuiba Nigerian music.
Sijabisha hilo nilikuwa napingana na mwanahawa kwa kusimamia point ya kuwa chameleone ana ela kwasababu kamskia kitambo.
 
ebu mpen heshima yake yule jamaa anaitwa Dkt Jose Chamelione
 
Haha. You've put me on a bad spot, man. The zone I never wish to be caught into.

Ile post nimeitafuta ili nii-quote bila mafanikio, nitafutie bro nakumbuka ilikuwa thread ya kwamba wanaume wanaoweka hela kwenye wallet hawana pesa kivile.
 
Back
Top Bottom