Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kati ya kupika chakula nyumbani na kununua chakula mgahawani, kipi kinatumia gharama kubwa?
Mtafune vzr mama lishe utakula bure hadi ufe na ngomaKati ya kupika chakula nyumbani na kununua chakula mgahawani, kipi kinatumia gharama kubwa?
😂😂 ila we jaaahBonyeza thanks kuunganishwa na Mwachiluwi
KuoaKipi sahihi
Kuoa au kununua pussy 🤔🤔
Kitengo chako mkuu 😂😂😂 ila we jaaah
Kati ya kupika chakula nyumbani na kununua chakula mgahawani, kipi kinatumia gharama
Kweli mwananguKupika ni muhimu sana,kwa afya yako ndugu yangu.Utqchagua mafuta ya aina gani upikie,uweke chumvi kiasi gani,viungo vipi uweke n.k.
Kama unatufata hela usiogope garama kwa kwa,ajili ya afya yako mara nyingi vyakula vya mgahawani hua vipo kibiashara zaidiKati ya kupika chakula nyumbani na kununua chakula mgahawani, kipi kinatumia gharama kubwa?
View attachment 3426202View attachment 3426203