Hivi kati ya kupika chakula geto na kununua mgahawani kipi kinatumia hela nyingi?

Bora kupika mwenyewe aisee ni Bora sana kwa Afya yako pia unasave budget vizuri maana unapika hiko chakula then unakula mara mbili
 

Kati ya kupika chakula nyumbani na kununua chakula mgahawani, kipi kinatumia gharama kubwa?

View attachment 3426202View attachment 3426203
Kama unatufata hela usiogope garama kwa kwa,ajili ya afya yako mara nyingi vyakula vya mgahawani hua vipo kibiashara zaidi
 
Kupika sio shida Tatizo vyombo mazeeπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…