Hivi kati ya Mwalimu Kashasha na Dkt Leakey nani zaidi katika uchambuzi wa soka?

Huyo Liki ni msimuliaji tu vitu anavyoongea hata dem wangu akiingia gugo akameza anaongea vizuri tu . Achana na Mwalim Kashasha wewe
 
Uko vizuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nadhani leaky Ana exposure kubwa Sana kuliko kashasha
Ni kweli, kipindi cha nyuma wakati matumizi ya internet hajawa makubwa kama sasa Dr. Leaky alikuwa mjuvi zaidi.

Ila zama zinachange kwa sasa kila kitu kipo wazi, ni mtu kuamua kuwa nyuma tu.

Kashasha ni Mwalimu + exposer inamfanya bora kwa sasa. Pamoja na wachambuzi wengi wapya. Zama za Dr zimepita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu leakey ni bora zaidi!

Kashasha anatumia zile terms za kisoka nahisi ni mwalimu wa mchezo wa soka huyu! Lakini kwenye uchambuzi dr leakey ni bora zaidi.
Kashasha anajua kutangaza mpira, kuuchambua mpira Leakey is the best maana anawajua wachezaji anaowachambua na timu zao, hafu Kashasha anajua mpira wa kitanzania wakati Leakey anaujua mpira wa kimataifa
 
Kawaida huwa sioni comment ndefu lakini hii nimesoma mpaka mwisho
 
Salute kwako acronomy.
 
Kwangu leakey ni bora zaidi!

Kashasha anatumia zile terms za kisoka nahisi ni mwalimu wa mchezo wa soka huyu! Lakini kwenye uchambuzi dr leakey ni bora zaidi.
Usihisi,
Ukweli ni kwamba huyu Mwl. Kashasha ni Mkufunzi wa michezo ...na mimi kanifundisha darasani kabisa,mzee yupo vizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupa "like" ya 71 mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa nitashanga kama utakuwa huna ajira maana hicho kichwa chako ni dhahabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Navyojua mmkwenye sOka kuna
1..uchambuaji- hapa nampa George Ambangile wa wasafi (zaman magic fm)

2. Ufafanuzi (kwenye utangazaji)- hapa nampama mwalim kashasha

3. Usomaji timu na utabira wa matokea (predictions) - hapa nampa dr. Leaky

4. Utangazaji - hapa ziko takataka kibao.Wengi tu wako vizur.

NB
kwa lugja nyingine ni kwamba kashasha na Dr. Leaky naona kama wame base kwenye issues tofauti sana.
 
Great thinker at work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…