ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
Huyo Liki ni msimuliaji tu vitu anavyoongea hata dem wangu akiingia gugo akameza anaongea vizuri tu . Achana na Mwalim Kashasha wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu; haya majina ni kweli ni maarufu katika uchambuzi wa soka hapa Tanzania lakini hawa ni watu wawili tofauti ambao hata katika uchambuzi huwa hawaongelei mambo yanayofanana.
Mwalimu Kashasha ni kocha na ni mtaalamu wa mpira; yeye huwa anachambua ''utaalamu'' na ''mbinu'' katika mchezo husika. Yeye hutuambia kuhusu mbinu za kimichezo, na makosa ya kimichezo yanayofanyika, na walau kuondoa utata kwa matukio yanayohitaji uchambuzi wa kitaalamu. Anafanya kazi yake vizuri sana katika upande huo na hachoshi kumsikiliza.
Dr Leakey Abdalla yeye ni mpenzi, mshabiki, mpenda soka. Uchambuzi wake hujikita zaidi katika historia na bashasha za mpira.Yeye huwa anatupa historia ya timu, historia ya wachezaji mmoja mmoja na hata matukio ya huko nyuma kuhusu timu na wachezaji; ni kawaida ya mwanandamu kupenda kusimuliwa na kuhadithiwa kwa sababu inakusogeza karibu na jambo unalosimuliwa.
Kwa walioanza kuangalia mpira zamani kidogo kwenye miaka ya 1994 - Fainali za World Cup Marekani- Dr Leakey alipata mashabiki wengi sana kwa kuwa hakukuwa na internet lakini yeye alikuwa anajua historia ya timu na wachezaji wake; watu walikuwa wanataka Dr Leakey asimulie kuliko hata kuangalia mpira wenyewe. Brazil chini ya Kapteni Dunga, Romario, Bebeto ikiibuka na ubingwa dhidi ya Italia kwa changamoto ya mikwaju ya penati; Roberto Baggio akiizamisha Italia baada ya kupaisha penati.
Na mwaka 1996 - wakati wa Fainali ya Kombe la Afrika - ilifanyika South Afrika pia Dr Leakey alifanya kazi kubwa mno ya kutusimulia na kutupa historia (mechi zilikuwa zinaonyeshwa ITV).South Africa ikiwa na wachezaji wake kama Dr Khumalo, Lucas Radebe, Tinkler na wengineo wakiifunga Tunisia kwenye fainali. Gazeti la Michezo lilikuwa Dimba na lenyewe lilikuwa linasubiri Dr Leakey aongee na wao wakaandike.
Nani bora kati yao linaweza kuwa swali lisilo na jibu kwa kuwa huwezi kulinganisha watu wanaofanya jambo moja lakini katika mtazamo tofauti.
Nikupe mfano mdogo; ripoti ya daktari juu ya kifo cha mtu aliyepigwa risasi itasomeka hivi ''sababu ya kifo ni kupoteza damu nyingi'' lakini ripoti ya polisi itasomeka ''mtuhumiwa alikufa baada ya kupigwa risasi''. Kwenye taaluma ya udaktari sababu ya kifo haiwezi kuwa ''kupigwa risasi'' kwa kuwa unaweza kupigwa risasi na ukapona, lakini ''huwezi kupoteza damu nyingi na ukapona''
Wote tunawahitaji kwa sasa maana upande mmoja tunapata uchambuzi wa kitaalamu na upande mwingine tunapata uchambuzi wa ''kihistoria'' ''kiushabiki'' na ''bashasha'' za kimpira. Wanaleta radha tofauti na tunahitaji vyote kutoka kwao.
Mpira ni sayansi lakini pia mpira ni ''interest'' na enjoyment.
Ni muda sasa kwa Watanzania hasa vijana kujifunza kumsifia mtu kwa sifa zake bila kumlinganisha na mwingine. Sio kila eneo watu wanahitaji kushindanishwa. Kuna maeneo unahitaji ''combination'' ili uweze kufurahia maisha.
Ahsante.
Ni kweli, kipindi cha nyuma wakati matumizi ya internet hajawa makubwa kama sasa Dr. Leaky alikuwa mjuvi zaidi.Mi nadhani leaky Ana exposure kubwa Sana kuliko kashasha
Kashasha anajua kutangaza mpira, kuuchambua mpira Leakey is the best maana anawajua wachezaji anaowachambua na timu zao, hafu Kashasha anajua mpira wa kitanzania wakati Leakey anaujua mpira wa kimataifaKwangu leakey ni bora zaidi!
Kashasha anatumia zile terms za kisoka nahisi ni mwalimu wa mchezo wa soka huyu! Lakini kwenye uchambuzi dr leakey ni bora zaidi.
Kawaida huwa sioni comment ndefu lakini hii nimesoma mpaka mwishoNdugu yangu; haya majina ni kweli ni maarufu katika uchambuzi wa soka hapa Tanzania lakini hawa ni watu wawili tofauti ambao hata katika uchambuzi huwa hawaongelei mambo yanayofanana.
Mwalimu Kashasha ni kocha na ni mtaalamu wa mpira; yeye huwa anachambua ''utaalamu'' na ''mbinu'' katika mchezo husika. Yeye hutuambia kuhusu mbinu za kimichezo, na makosa ya kimichezo yanayofanyika, na walau kuondoa utata kwa matukio yanayohitaji uchambuzi wa kitaalamu. Anafanya kazi yake vizuri sana katika upande huo na hachoshi kumsikiliza.
Dr Leakey Abdalla yeye ni mpenzi, mshabiki, mpenda soka. Uchambuzi wake hujikita zaidi katika historia na bashasha za mpira.Yeye huwa anatupa historia ya timu, historia ya wachezaji mmoja mmoja na hata matukio ya huko nyuma kuhusu timu na wachezaji; ni kawaida ya mwanandamu kupenda kusimuliwa na kuhadithiwa kwa sababu inakusogeza karibu na jambo unalosimuliwa.
Kwa walioanza kuangalia mpira zamani kidogo kwenye miaka ya 1994 - Fainali za World Cup Marekani- Dr Leakey alipata mashabiki wengi sana kwa kuwa hakukuwa na internet lakini yeye alikuwa anajua historia ya timu na wachezaji wake; watu walikuwa wanataka Dr Leakey asimulie kuliko hata kuangalia mpira wenyewe. Brazil chini ya Kapteni Dunga, Romario, Bebeto ikiibuka na ubingwa dhidi ya Italia kwa changamoto ya mikwaju ya penati; Roberto Baggio akiizamisha Italia baada ya kupaisha penati.
Na mwaka 1996 - wakati wa Fainali ya Kombe la Afrika - ilifanyika South Afrika pia Dr Leakey alifanya kazi kubwa mno ya kutusimulia na kutupa historia (mechi zilikuwa zinaonyeshwa ITV).South Africa ikiwa na wachezaji wake kama Dr Khumalo, Lucas Radebe, Tinkler na wengineo wakiifunga Tunisia kwenye fainali. Gazeti la Michezo lilikuwa Dimba na lenyewe lilikuwa linasubiri Dr Leakey aongee na wao wakaandike.
Nani bora kati yao linaweza kuwa swali lisilo na jibu kwa kuwa huwezi kulinganisha watu wanaofanya jambo moja lakini katika mtazamo tofauti.
Nikupe mfano mdogo; ripoti ya daktari juu ya kifo cha mtu aliyepigwa risasi itasomeka hivi ''sababu ya kifo ni kupoteza damu nyingi'' lakini ripoti ya polisi itasomeka ''mtuhumiwa alikufa baada ya kupigwa risasi''. Kwenye taaluma ya udaktari sababu ya kifo haiwezi kuwa ''kupigwa risasi'' kwa kuwa unaweza kupigwa risasi na ukapona, lakini ''huwezi kupoteza damu nyingi na ukapona''
Wote tunawahitaji kwa sasa maana upande mmoja tunapata uchambuzi wa kitaalamu na upande mwingine tunapata uchambuzi wa ''kihistoria'' ''kiushabiki'' na ''bashasha'' za kimpira. Wanaleta radha tofauti na tunahitaji vyote kutoka kwao.
Mpira ni sayansi lakini pia mpira ni ''interest'' na enjoyment.
Ni muda sasa kwa Watanzania hasa vijana kujifunza kumsifia mtu kwa sifa zake bila kumlinganisha na mwingine. Sio kila eneo watu wanahitaji kushindanishwa. Kuna maeneo unahitaji ''combination'' ili uweze kufurahia maisha.
Ahsante.
Ndugu yangu; haya majina ni kweli ni maarufu katika uchambuzi wa soka hapa Tanzania lakini hawa ni watu wawili tofauti ambao hata katika uchambuzi huwa hawaongelei mambo yanayofanana.
Mwalimu Kashasha ni kocha na ni mtaalamu wa mpira; yeye huwa anachambua ''utaalamu'' na ''mbinu'' katika mchezo husika. Yeye hutuambia kuhusu mbinu za kimichezo, na makosa ya kimichezo yanayofanyika, na walau kuondoa utata kwa matukio yanayohitaji uchambuzi wa kitaalamu. Anafanya kazi yake vizuri sana katika upande huo na hachoshi kumsikiliza.
Dr Leakey Abdalla yeye ni mpenzi, mshabiki, mpenda soka. Uchambuzi wake hujikita zaidi katika historia na bashasha za mpira.Yeye huwa anatupa historia ya timu, historia ya wachezaji mmoja mmoja na hata matukio ya huko nyuma kuhusu timu na wachezaji; ni kawaida ya mwanandamu kupenda kusimuliwa na kuhadithiwa kwa sababu inakusogeza karibu na jambo unalosimuliwa.
Kwa walioanza kuangalia mpira zamani kidogo kwenye miaka ya 1994 - Fainali za World Cup Marekani- Dr Leakey alipata mashabiki wengi sana kwa kuwa hakukuwa na internet lakini yeye alikuwa anajua historia ya timu na wachezaji wake; watu walikuwa wanataka Dr Leakey asimulie kuliko hata kuangalia mpira wenyewe. Brazil chini ya Kapteni Dunga, Romario, Bebeto ikiibuka na ubingwa dhidi ya Italia kwa changamoto ya mikwaju ya penati; Roberto Baggio akiizamisha Italia baada ya kupaisha penati.
Na mwaka 1996 - wakati wa Fainali ya Kombe la Afrika - ilifanyika South Afrika pia Dr Leakey alifanya kazi kubwa mno ya kutusimulia na kutupa historia (mechi zilikuwa zinaonyeshwa ITV).South Africa ikiwa na wachezaji wake kama Dr Khumalo, Lucas Radebe, Tinkler na wengineo wakiifunga Tunisia kwenye fainali. Gazeti la Michezo lilikuwa Dimba na lenyewe lilikuwa linasubiri Dr Leakey aongee na wao wakaandike.
Nani bora kati yao linaweza kuwa swali lisilo na jibu kwa kuwa huwezi kulinganisha watu wanaofanya jambo moja lakini katika mtazamo tofauti.
Nikupe mfano mdogo; ripoti ya daktari juu ya kifo cha mtu aliyepigwa risasi itasomeka hivi ''sababu ya kifo ni kupoteza damu nyingi'' lakini ripoti ya polisi itasomeka ''mtuhumiwa alikufa baada ya kupigwa risasi''. Kwenye taaluma ya udaktari sababu ya kifo haiwezi kuwa ''kupigwa risasi'' kwa kuwa unaweza kupigwa risasi na ukapona, lakini ''huwezi kupoteza damu nyingi na ukapona''
Wote tunawahitaji kwa sasa maana upande mmoja tunapata uchambuzi wa kitaalamu na upande mwingine tunapata uchambuzi wa ''kihistoria'' ''kiushabiki'' na ''bashasha'' za kimpira. Wanaleta radha tofauti na tunahitaji vyote kutoka kwao.
Mpira ni sayansi lakini pia mpira ni ''interest'' na enjoyment.
Ni muda sasa kwa Watanzania hasa vijana kujifunza kumsifia mtu kwa sifa zake bila kumlinganisha na mwingine. Sio kila eneo watu wanahitaji kushindanishwa. Kuna maeneo unahitaji ''combination'' ili uweze kufurahia maisha.
Ahsante.
Mada ni Kashasha na Dr Leakey wewe unaleta mtu anaitwa Tigana. Ndio maana mnafeli mitihani
Sent using Jamii Forums mobile app
Usihisi,Kwangu leakey ni bora zaidi!
Kashasha anatumia zile terms za kisoka nahisi ni mwalimu wa mchezo wa soka huyu! Lakini kwenye uchambuzi dr leakey ni bora zaidi.
Usihisi,
Ukweli ni kwamba huyu Mwl. Kashasha ni Mkufunzi wa michezo ...na mimi kanifundisha darasani kabisa,mzee yupo vizuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
mzee hapo wala haboi ukikaa nae unaweza ukaongeza siku za kuishi,Ndio maana ana misemo mingi mnooo ya kisoka! Japo huwa anatia chumvi kidogo kunogesha.
Ndugu yangu; haya majina ni kweli ni maarufu katika uchambuzi wa soka hapa Tanzania lakini hawa ni watu wawili tofauti ambao hata katika uchambuzi huwa hawaongelei mambo yanayofanana.
Mwalimu Kashasha ni kocha na ni mtaalamu wa mpira; yeye huwa anachambua ''utaalamu'' na ''mbinu'' katika mchezo husika. Yeye hutuambia kuhusu mbinu za kimichezo, na makosa ya kimichezo yanayofanyika, na walau kuondoa utata kwa matukio yanayohitaji uchambuzi wa kitaalamu. Anafanya kazi yake vizuri sana katika upande huo na hachoshi kumsikiliza.
Dr Leakey Abdalla yeye ni mpenzi, mshabiki, mpenda soka. Uchambuzi wake hujikita zaidi katika historia na bashasha za mpira.Yeye huwa anatupa historia ya timu, historia ya wachezaji mmoja mmoja na hata matukio ya huko nyuma kuhusu timu na wachezaji; ni kawaida ya mwanandamu kupenda kusimuliwa na kuhadithiwa kwa sababu inakusogeza karibu na jambo unalosimuliwa.
Kwa walioanza kuangalia mpira zamani kidogo kwenye miaka ya 1994 - Fainali za World Cup Marekani- Dr Leakey alipata mashabiki wengi sana kwa kuwa hakukuwa na internet lakini yeye alikuwa anajua historia ya timu na wachezaji wake; watu walikuwa wanataka Dr Leakey asimulie kuliko hata kuangalia mpira wenyewe. Brazil chini ya Kapteni Dunga, Romario, Bebeto ikiibuka na ubingwa dhidi ya Italia kwa changamoto ya mikwaju ya penati; Roberto Baggio akiizamisha Italia baada ya kupaisha penati.
Na mwaka 1996 - wakati wa Fainali ya Kombe la Afrika - ilifanyika South Afrika pia Dr Leakey alifanya kazi kubwa mno ya kutusimulia na kutupa historia (mechi zilikuwa zinaonyeshwa ITV).South Africa ikiwa na wachezaji wake kama Dr Khumalo, Lucas Radebe, Tinkler na wengineo wakiifunga Tunisia kwenye fainali. Gazeti la Michezo lilikuwa Dimba na lenyewe lilikuwa linasubiri Dr Leakey aongee na wao wakaandike.
Nani bora kati yao linaweza kuwa swali lisilo na jibu kwa kuwa huwezi kulinganisha watu wanaofanya jambo moja lakini katika mtazamo tofauti.
Nikupe mfano mdogo; ripoti ya daktari juu ya kifo cha mtu aliyepigwa risasi itasomeka hivi ''sababu ya kifo ni kupoteza damu nyingi'' lakini ripoti ya polisi itasomeka ''mtuhumiwa alikufa baada ya kupigwa risasi''. Kwenye taaluma ya udaktari sababu ya kifo haiwezi kuwa ''kupigwa risasi'' kwa kuwa unaweza kupigwa risasi na ukapona, lakini ''huwezi kupoteza damu nyingi na ukapona''
Wote tunawahitaji kwa sasa maana upande mmoja tunapata uchambuzi wa kitaalamu na upande mwingine tunapata uchambuzi wa ''kihistoria'' ''kiushabiki'' na ''bashasha'' za kimpira. Wanaleta radha tofauti na tunahitaji vyote kutoka kwao.
Mpira ni sayansi lakini pia mpira ni ''interest'' na enjoyment.
Ni muda sasa kwa Watanzania hasa vijana kujifunza kumsifia mtu kwa sifa zake bila kumlinganisha na mwingine. Sio kila eneo watu wanahitaji kushindanishwa. Kuna maeneo unahitaji ''combination'' ili uweze kufurahia maisha.
Ahsante.
We jamaa nitashanga kama utakuwa huna ajira maana hicho kichwa chako ni dhahabuNdugu yangu; haya majina ni kweli ni maarufu katika uchambuzi wa soka hapa Tanzania lakini hawa ni watu wawili tofauti ambao hata katika uchambuzi huwa hawaongelei mambo yanayofanana.

Great thinker at work.Ndugu yangu; haya majina ni kweli ni maarufu katika uchambuzi wa soka hapa Tanzania lakini hawa ni watu wawili tofauti ambao hata katika uchambuzi huwa hawaongelei mambo yanayofanana.

Bongo mazuzu ndio wanaokula shavu na ndio wamejaa bungeni pomoni.We jamaa nitashanga kama utakuwa huna ajira maana hicho kichwa chako ni dhahabu
Sent using Jamii Forums mobile app