Hivi kati ya Ottoman empire na Roman empire ipi ilitumia zaidi nguvu na kuua watu wengi per time it ruled?

Ilitawala mda mrefu so ilitembeza watu sana ......rejea movie ya Spartacus ....an hakukua na ubinadam kule
ndomana nkauliza per time iliyotawala...
yaani rate ya uuaji
yani mfano walitawala miaka 1000 wakaua watu 1000 ni sawa na waliotawala miaka 100 wakaua watu 100

So assume na Ottoman ingetawala mda sawa na Roman empire
ipi katili zaidi?
 
ndomana nkauliza per time iliyotawala...
yaani rate ya uuaji
yani mfano walitawala miaka 1000 wakaua watu 1000 ni sawa na waliotawala miaka 100 wakaua watu 100

So assume na Ottoman ingetawala mda sawa na Roman empire
ipi katili zaidi?
Mfano ottoman haikuenea middle east kivita kivile,almost sikumbuki vita kubwa ya waturuki kuikamata bara arab,
Wakati ottoman inaiñuka Roman ilikua inaanguka,kiufupi ottoman iliangusha Roman empire,,kisha ottoman yenyewe ikaangushwa na British empire
 
irrelevant


Relevant in this analogy; Europeans , according to you, brought the religions to which we are adhered, like Computers, hand sets, Cars etc, all made by the same Europeans so to say, we African have not yet made any thing useful, what we know is Whitchcrafts etc.
 
Elezea zaidi
Hili jina Roman linatoka wapi??
Mfano Ottoman inafahamika inahusiana na Uturuki ya sasa..
Roman inahusiana na Taifa gani la sasa??
Italy?Greek?
Historia inaonesha kuwa Warumi ni watu ambao walianzia mji wa Roma kwa sasa ni Italia. Roma ilikuwa kitovu cha Himaya ya Kirumi – nchi zilizotawaliwa na Warumi zilikuwa ni sehemu za Ulaya (ikiwa ni pamoja na Gaul -Ufaransa, Ugiriki na Hispania), sehemu za Afrika Kaskazini na sehemu za Mashariki ya Kati.
 
Kabisa kabisa hasa Mshana Jr
 

Kabla ya Roma ..wagiriki pia walitawala Europe?Sawa??
 
Roman ndio mdedile bana hata ukiangalia matokeo yao roman matokeo yake yamedumu na yananguvu hadi leo hiii,
Sema washikaji walikuwa wababe sana wale
 
Kabla ya Roma ..wagiriki pia walitawala Europe?Sawa??
Ustaarabu wa miji ya Ulaya ulianzishwa na jamii ya Waminoasi wa Zama za Shaba wa Krete na Ugiriki wa Mycenaea, ambao uliisha karibu karne ya 11 BC wakati Ugiriki ilipoingia Enzi za Kigiriki ya nyakati za giza (dark ages).

Kutokana na historia, kabla ya Himaya ya Kirumi, maeneo hayo yalitawaliwa na Waetruria (Etruscans), ambayo ilikuwa jamii ya watu wa hali ya juu na matata kwa wakati huo. Waetruria waliishi kaskazini ya mji wa Roma, huko Toscany.

Baada ya mwaka 650 BC, Waetruria walikuwa wanatawala Italia na kupanuka hadi kaskazini ya kati ya Italia. Kimsingi, Waetruria walitawala Italia, wakifanya biashara na tamaduni nyingine zilizositawi kama vile Ugiriki na Mashariki ya Karibu.

Kwa hivyo basi, himaya zote zilikuwepo wakati huo. Na Himaya ya Ugiriki ilikuja kuangushwa na Alexander the Great, mfalme wa Himaya ya Kirumi ya kale, iliyokuwa inaanza kuimarika katika nyanja zote za maendeleo.

Historia inaonesha kuwa Warumi walifikiri kuwa Wagiriki walikuwa kama watoto kwa kuwa inaaminika walikuwa wakigombana daima, waongo na wasioshirikiana.

Himaya ya Kirumi ndiyo inasemekana kudumu zaidi katika historia. Tarehe rasmi ya kuanza kwa himaya hii bado ni mada ya mjadala, lakini wanahistoria wengi wanakubali kuwa ilianzishwa mwaka 27 BC, wakati mwanasiasa Mroma Octavian alipoipindua Jamhuri ya Kirumi na kujiita Mfalme Augusto
 
Roman Empire imeua sana watu, kuna kipindi haid kinaitwa dark age yani hadi maendeleo ya dunia yalisimama kwa miaka kadhaa kwasababu ya ushezi wao
 
Hiyo ni italy
Hapana ilichukua nchi nyingi sana za ulaya kuanzia England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿,Austria, France 🇫🇷,Italy, some parts of now days German na nchi nyingi za norhern Africa kwa kifupi karibu ulaya nzima ilikua The Great Roman Empire
 
Kabla ya Roma ..wagiriki pia walitawala Europe?Sawa?
Wagiriki walitawa baadhi ya visiwa vya ulaya maeneo kama Macedonia 🇲🇰, Cyprus 🇨🇾 na kwingine ila haikufika hata nusu ya Ulaya
 
Sidhani,wafaransa walijuwa na kingdom zao,UK na pia germany,sweden etc
 
Roman Empire iliangusha na sababu nyingi kubwa ni kushambuliwa na baadhi ya makabila ya ujerumani hasa SAXONS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…