Usichanganye mafaili hapa tuna zungumzia 1st century -4th century kipindi ambako hakuna nchi inayoitwa Sweden 🇸🇪 , Germany 🇩🇪 wala UNITED KINGDOMSSidhani,wafaransa walijuwa na kingdom zao,UK na pia germany,sweden etc
Alexander The Great sio mgiriki anatokea Macedonia ... Kuna kipindi Macedonia ilitawala ugiriki ndio akaja huyu bwana mdogoGreek alikua alexandra the great...
Hii inaitwa holy Roman Empire ilianza karne ya 9 ikaanguka mwanzo wa karne ya 19 sio ROMAN EMPIRE ya kina Neto .. Augustus ,Ceaser na Tiberius sio anayoi-refer muuliza swali
Hii inaitwa holy Roman Empire ilianza karne ya 9 ikaanguka mwanzo wa karne ya 19 sio ROMAN EMPIRE ya kina Neto .. Augustus ,Ceaser na Tiberius sio anayoi-refer muuliza swali
Umeniwekea ramani nyingi bila maelezo Niambie nini unataka kusema
Hii inaitwa holy Roman Empire ilianza karne ya 9 ikaanguka mwanzo wa karne ya 19 sio ROMAN EMPIRE ya kina Neto .. Augustus ,Ceaser na Tiberius sio anayoi-refer muuliza swali
Roman ni washenzi tu kwa ottoman,
Jibu langu=Roman ni makatili
...................=Ottoman ni watenda haki, na hawakuwa wabaya kama mwadhaniavyo.
Tofauti ni muda , coverage na aina ya uongozi .. Roman Empire ilianza karne ya kwanza na ikaanguka around 5th century kipindi hicho ulaya ikiwa kwenye wakati wa utumwa hii Holy Roman empire imekuja kipindi watu wapo kwenye feudalism hii ilikua chini ya Pope ile nyingine ilikua chini ya normal rulersHolly Roman empire
Na Roman Empire zilitofautiana je??
Hakuna uongozi wowote Duniani ulikua unatenda haki au ubaya ... hivi vitu vinaenda kwa pamoja hata aje kiongozi gani kuna watakao nufaika na kunawatakao umia ... ubaya au uzuri wa uongozi inategemea na muda na wewe ni nani maana yake its all based on feelingsRoman ni washenzi tu kwa ottoman,
Jibu langu=Roman ni makatili
...................=Ottoman ni watenda haki, na hawakuwa wabaya kama mwadhaniavyo.
Tofauti ni muda , coverage na aina ya uongozi .. Roman Empire ilianza karne ya kwanza na ikaanguka around 5th century kipindi hicho ulaya ikiwa kwenye wakati wa utumwa hii Holy Roman empire imekuja kipindi watu wapo kwenye feudalism hii ilikua chini ya Pope ile nyingine ilikua chini ya normal rulers
Kwanza kabla ya holy roman empire,,palianza na byzatine empire ambayo hujulikana kama east church,leo ndo ordhox church,hiyo ndo imezaa holy roman empire,Kwahiyo ndo tuseme Ottoman empire walikuja kushindana na Holly Roman empire?
Hawakuikuta Ile Roma empire ya mwanzo?
Hii Holly Roman empire kama ilikuwa weak kulinganisha na Ottoman?Au iklikuwaje?..
Tungependa kujua zaidi kuhusu shaka zulu, egypt empire, kemit, nubian.Greetings Earthlings,
Hizi empire mbili zilitawala kila moja kwa muda wake.
Roman empire ilitawala muda mrefu zaidi na ilikuwa na phase mbili ya kabla kuwa ya kikristo na baada kuwa ya kikristo
Kabla kuwa ya kikristo ilitawala dunia kwa mateso na kuonea wasioamini miungu ya kirumi..
Baada ya kuwa ya kikristo miaka ya 200AD iliendelea kutawala na kutesa sana wasioamini ukatoliki.hivyo ilisaidia sana kukua kwa ukatoliki na kuupa nguvu duniani
Ottoman empire nayo ilitawala kwa makalifa na ilitumia upanga na vita kuenea kutoka mecca mpaka middle east yote + far East kama india + North Africa
ilisaidia kukuza uislam...watu wengi wasioamin waliuwawa na tawala za dini tofauti zilishushwa(kwa upanga)
Swali langu:Kati ya hizi tawala mbili ipi ilikuwa katili zaidi(Most brutal) per time it ruled?
Nb;sio mjadala wa dini,ni pure history na facts tuachane na hisia zetu according to imani zetu
Egypt ndo mdedile. Black afrians had greatest empiresRoman ndio mdedile bana hata ukiangalia matokeo yao roman matokeo yake yamedumu na yananguvu hadi leo hiii,
Sema washikaji walikuwa wababe sana wale
Swali la kwanza jibu ni Ndio walikuaja kushindana na Holy Roman Empire na sio The Great Roman EmpireKwahiyo ndo tuseme Ottoman empire walikuja kushindana na Holly Roman empire?
Hawakuikuta Ile Roma empire ya mwanzo?
Hii Holly Roman empire kama ilikuwa weak kulinganisha na Ottoman?Au iklikuwaje?..
Hapsburg Leo ndo wapi??Swali la kwanza jibu ni Ndio walikuaja kushindana na Holy Roman Empire na sio The Great Roman Empire
Swali la pili hapana haikua weak holy Roman Empire ilikua imejidhatiti ulaya magharibi huku ulaya mashariki ikiwa kwa OTTOMAN EMPIRE na moja ya sababu za kuanguka kwa Ottoman Empire ni resistance kutoka kwa holy Roman empire na washirika wake refer vita vilivyopiganwa Hapsburg Ottoman empire ikashindwa na ndio ukawa mwanzo wa kuanguka kwake
Wakuu mbona mnajua sana kuhusu roman empire kuliko empire zilizokuwepo afrika. Hii sio effect ya colonial education. HamstukiHapsburg Leo ndo wapi??
Wakuu mbona mnajua sana kuhusu roman empire kuliko empire zilizokua africa. Hii sio effect ya colonial education?. My african brothers wake up.Holy Roman Empire ilikua kama vile religious figure yani sijui nielezeeje maana hata wafalme wa mataifa ambayo hayapo kwenye Holy Roman Empire walikua wanakwenda kubarikiwa na Pope ... Pope akikukataa ilikua shida sana kutawala ... wakitaka wanajeshi mfano kwenda kwenye jihadi ( crusades) walikua wanapitisha bakuli la kuomba wanajeshi na fedha karibu ulaya nzima