Hivi kati ya Ottoman empire na Roman empire ipi ilitumia zaidi nguvu na kuua watu wengi per time it ruled?

Hivi kati ya Ottoman empire na Roman empire ipi ilitumia zaidi nguvu na kuua watu wengi per time it ruled?

Sidhani,wafaransa walijuwa na kingdom zao,UK na pia germany,sweden etc
Usichanganye mafaili hapa tuna zungumzia 1st century -4th century kipindi ambako hakuna nchi inayoitwa Sweden 🇸🇪 , Germany 🇩🇪 wala UNITED KINGDOMS
 
Hii inaitwa holy Roman Empire ilianza karne ya 9 ikaanguka mwanzo wa karne ya 19 sio ROMAN EMPIRE ya kina Neto .. Augustus ,Ceaser na Tiberius sio anayoi-refer muuliza swali
39ac8f448a4b08736865b04f06b22de8.jpg

ad50a44480ca97c940053fe2d5872fba.jpg

29db9f7bc71de9c48b60932811f5258c.jpg
 
Roman ni washenzi tu kwa ottoman,

Jibu langu=Roman ni makatili
...................=Ottoman ni watenda haki, na hawakuwa wabaya kama mwadhaniavyo.
 
Hii inaitwa holy Roman Empire ilianza karne ya 9 ikaanguka mwanzo wa karne ya 19 sio ROMAN EMPIRE ya kina Neto .. Augustus ,Ceaser na Tiberius sio anayoi-refer muuliza swali

Holly Roman empire
Na Roman Empire zilitofautiana je??
 
Roman empire, hao jamaa waliua knight templers wote baada ya kuona wanaanza kusaliti kanisa....
 
Holly Roman empire
Na Roman Empire zilitofautiana je??
Tofauti ni muda , coverage na aina ya uongozi .. Roman Empire ilianza karne ya kwanza na ikaanguka around 5th century kipindi hicho ulaya ikiwa kwenye wakati wa utumwa hii Holy Roman empire imekuja kipindi watu wapo kwenye feudalism hii ilikua chini ya Pope ile nyingine ilikua chini ya normal rulers
 
Roman ni washenzi tu kwa ottoman,

Jibu langu=Roman ni makatili
...................=Ottoman ni watenda haki, na hawakuwa wabaya kama mwadhaniavyo.
Hakuna uongozi wowote Duniani ulikua unatenda haki au ubaya ... hivi vitu vinaenda kwa pamoja hata aje kiongozi gani kuna watakao nufaika na kunawatakao umia ... ubaya au uzuri wa uongozi inategemea na muda na wewe ni nani maana yake its all based on feelings
 
Tofauti ni muda , coverage na aina ya uongozi .. Roman Empire ilianza karne ya kwanza na ikaanguka around 5th century kipindi hicho ulaya ikiwa kwenye wakati wa utumwa hii Holy Roman empire imekuja kipindi watu wapo kwenye feudalism hii ilikua chini ya Pope ile nyingine ilikua chini ya normal rulers

Kwahiyo ndo tuseme Ottoman empire walikuja kushindana na Holly Roman empire?
Hawakuikuta Ile Roma empire ya mwanzo?

Hii Holly Roman empire kama ilikuwa weak kulinganisha na Ottoman?Au iklikuwaje?..
 
Kwahiyo ndo tuseme Ottoman empire walikuja kushindana na Holly Roman empire?
Hawakuikuta Ile Roma empire ya mwanzo?

Hii Holly Roman empire kama ilikuwa weak kulinganisha na Ottoman?Au iklikuwaje?..
Kwanza kabla ya holy roman empire,,palianza na byzatine empire ambayo hujulikana kama east church,leo ndo ordhox church,hiyo ndo imezaa holy roman empire,
Ottoman empire walianza kuiangusha east roman empire yaani Byzantine empire kwa kuuteka mji wa Constantinople ambao leo unaitwa istanbull,
Lakini baadae Roman empire iliyobaki ikawa weakened kwasababu ya vita vya mda mrefu vya crusade na ottoman empire,ambayo ndo ilifikia peak ,kabla nayo haijaangushwa na British empire
 
Greetings Earthlings,
Hizi empire mbili zilitawala kila moja kwa muda wake.

Roman empire ilitawala muda mrefu zaidi na ilikuwa na phase mbili ya kabla kuwa ya kikristo na baada kuwa ya kikristo
Kabla kuwa ya kikristo ilitawala dunia kwa mateso na kuonea wasioamini miungu ya kirumi..
Baada ya kuwa ya kikristo miaka ya 200AD iliendelea kutawala na kutesa sana wasioamini ukatoliki.hivyo ilisaidia sana kukua kwa ukatoliki na kuupa nguvu duniani

Ottoman empire nayo ilitawala kwa makalifa na ilitumia upanga na vita kuenea kutoka mecca mpaka middle east yote + far East kama india + North Africa
ilisaidia kukuza uislam...watu wengi wasioamin waliuwawa na tawala za dini tofauti zilishushwa(kwa upanga)

Swali langu:Kati ya hizi tawala mbili ipi ilikuwa katili zaidi(Most brutal) per time it ruled?

Nb;sio mjadala wa dini,ni pure history na facts tuachane na hisia zetu according to imani zetu
Tungependa kujua zaidi kuhusu shaka zulu, egypt empire, kemit, nubian.
 
Kwahiyo ndo tuseme Ottoman empire walikuja kushindana na Holly Roman empire?
Hawakuikuta Ile Roma empire ya mwanzo?

Hii Holly Roman empire kama ilikuwa weak kulinganisha na Ottoman?Au iklikuwaje?..
Swali la kwanza jibu ni Ndio walikuaja kushindana na Holy Roman Empire na sio The Great Roman Empire
Swali la pili hapana haikua weak holy Roman Empire ilikua imejidhatiti ulaya magharibi huku ulaya mashariki ikiwa kwa OTTOMAN EMPIRE na moja ya sababu za kuanguka kwa Ottoman Empire ni resistance kutoka kwa holy Roman empire na washirika wake refer vita vilivyopiganwa Hapsburg Ottoman empire ikashindwa na ndio ukawa mwanzo wa kuanguka kwake
 
Hapsburg Leo ndo wapi??
 
Holy Roman Empire ilikua kama vile religious figure yani sijui nielezeeje maana hata wafalme wa mataifa ambayo hayapo kwenye Holy Roman Empire walikua wanakwenda kubarikiwa na Pope ... Pope akikukataa ilikua shida sana kutawala ... wakitaka wanajeshi mfano kwenda kwenye jihadi ( crusades) walikua wanapitisha bakuli la kuomba wanajeshi na fedha karibu ulaya nzima
 
Wakuu mbona mnajua sana kuhusu roman empire kuliko empire zilizokua africa. Hii sio effect ya colonial education?. My african brothers wake up.
 
Back
Top Bottom