Hivi kati ya Ottoman empire na Roman empire ipi ilitumia zaidi nguvu na kuua watu wengi per time it ruled?

Ahmadiyya ndio hawa wazee wa mitutu aka jihadiste?
 
We jamaa muongo sana,hivi dola ya Rumi iliua watu ili kueneza Ukatoliki kwa nguvu au yenyewe ndo iliua Wakatoliki kwa kuwalazimisha kuabudu miungu yao?.
 
otoman
 
We jamaa muongo sana,hivi dola ya Rumi iliua watu ili kueneza Ukatoliki kwa nguvu au yenyewe ndo iliua Wakatoliki kwa kuwalazimisha kuabudu miungu yao?.
Wakatoliki wameanza kuwepo baada ya Roman empire kuacha kuua wakristo na kubadilika kuwa dola ya kikristo...Hapo ndio ukatoliki ukazaliwa, maana mji mkuu wa center ya Dola ya kirumi ilikuwa Italia na Katoliki ndio makao makuu yao huko hadi leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…