wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,092
- 808
Ya sure ni kama umelala kwenye nyumba yako unaamka asubuhi unakuta mtu anaishi na vitu vyako vyote kavitoa ndani na kaweka vyake na wewe umekua mfanyakazi kwa lazima. Huku ukiwa umefungwa minyororo.haya yanawezekana lakini the way forward is not to change history but to change the present.
hawa wanaojaribu ku re-write history kwa ulongo wao hawamfaidishi mtu
China waliteswa sana na wajapan,wakorea,british,Germans
Lakini hawajawahi kubadilisha historia yao na kuanza kufundisha eti walitawala dunia vita vya pili...Nope, walichofanya ni kujitambua kuwa wamekuwa wanyonge for too long ni kubadilika na kuweka mikakati long term ya kuhakikisha wankuwa superpower yenye nguvu duniani..
The change doesnt start yesterday..it starts Now and it begins with you[emoji121]
Cha kufanya hapo ni kua mpole kwanza na kujifanya mjinga. Ili akikosea tu akakupa chance ya kukufungua minyororo unatumia opportunity effectively. Na asipokosea ni kuendelea kumuwekea mitego itakayomfanya akosee.