Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Wezi wa kula ni tatzo kubwa kwakuwa hao wezi wa kula ndio wanaotusababishia panya road..Habari!
Panya road (vibaka) wanaudhi
Wezi wa kura (wapotosha haki) wanaudhi.
Je, kati ya makundi hayo mawili juu ni kundi lipi linaweza kuleta matatizo makubwa zaidi katika nchi kuliko jingine?
Ni kundi lipi lina afadhali?
Panya road hawezi kuzalisha wezi wa kura, bali wezi wa kura wanaweza kuzalisha panya roadBora hao panya road.. hawa wezi wa kura ndo watu wanaotusababishia hao panya road.. Wananchi tunajitahidi kuchagua viongozi tunawataka kwa maendeleo yetu Ila wao wanahujumu.. ni shenzi sana
Umemaliza kazi, perfectWezi wa kula ni tatzo kubwa kwakuwa hao wezi wa kula ndio wanaotusababishia panya road..
Wizi wa kura= paka road, panya road, mbwa road n.kOutcome ya wizi wa kura ni Panya road.