Ni hii ya dogo aliyeuawa kikatili na kukutwa mtoni akiwa hana kichwa. Isikie tu maana si kawaida.
Mimi hadi hapa nimewahi sikia ni kijijini kwetu Kaya kama 6 kutoka kwetu bibi alikatwa katwa mapanga kwa imani zetu Kanda ya ziwa na kisha kichwa chake wakaenda nacho hao wakataji.
Hatukwenda kwenye tukio maana tulikuwa watoto bado.
Hii tena imetokea asee sio poa.
Ila masela waliokata kichwa dah
Kama walikata akiwa amekufa that itakuwa angalau wana chembe za utu but kama walikata live that was mazafaka those kids were devil since utotoni kwao
Nimekumbuka kile kisa cha yule mama mjeruman : mwanae wa kike alibakwa kisha msela akafanya damage kubwa
Mama alipozika binti yake akaanza kufuatilia kesi.
Mtuhumiwa akawa analetwa Mahakaman kwa ajili ya hukumu.. kila siku ya yule mama ilikuwa ni siku ya huzuni maana she was a single mother with the only daughter na akapa depression kubwa.
A day aka smuggle a gun akaingia nayo court : while kesi ikiendelea, Mama alichomoa mashine jamaa alifumuliwa ubungo kwa risas nyingi sana…. Security ya court waliacha hadi mama amalize kazi yake ..,,,, mama alipo maliza alipata ahueni na sura ikawa na amani, she was sentenced for 5 years ila baadae akaachiwa the following year .
Haya mambo yasikieni ——!kuna watu sio hata wa kuwachelewesha. Hii kitu nadhan ilikuwa Hadi na movie yake
I always say ukifika age fulan na unautimamu wa akili : ku miliki gun ni mandatory
It can serve you alot bila hata ya kuua
I wonder hata polepole kwanini alikubali kutekwa kifala : balozi unakosa a gun ya kudondoka hata na watu watatu
Unless jamaa alikuwa ametumia zile dawa za usingizi : wakati mwingine zinakufanya unakuwa na usingizi wa mf
Hii dunia haina cha mzee ; nimeona makaburi ya watu wengi walioogopa kupigana vita au kujilinda kwa kuhofia watakufa