Hivi katika mazingira haya kuna haja gani ya ndoa?

Hivi kumbe unaoa ili upate wa kukupikia na kukufulia?
Swali langu yote si yanafanyika au unapenda urudi umkute mkeo na mwiko na huku jasho linamtoka kisa kukusongea ugali? Achana na mfumo dume wewe kuwa wa kisasa.................... hata km siendi kazini huko jikoni siingi ng'ooo na nguo pia sitafua utafuliwa na utapikiwa na utakula
Miss madeko naona unaongea kwa hisia huku unarusha mikono, angalia isimpige alo mbele yako[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa kabisa, kuna wale tunaopenda kutekeleza majukumu na wajibu wetu kama wanaume kamili (mke akiwa tunu anaehudumiwa na kutunzwa) na kuna wale wanaopenda kitonga (mke awe kaajiriwa) uko sahihi kabisaaa.

Na hata wanawake walioajiriwa hawaolewi na high value men, daima wanaolewaga na mario a.k.a ucheble style. Na mindoa ya aina hii inavunjika kila siku ila watu wanajifanya hawaoni.

Ndoa nyingi zenye migogoro utasikia mume anafamya kazi huku mke anafanya kazi pale wameshitakiana kule teheeee hee heee. Wanawake wanan'gan'gana wawe kama wanaume, wanaume wanan'gan'gana wawe kama wanawake.
Utatetea unachokiamini hata iweje...Kwani unaamini ulifanya maamuzi sahihi..na wote walio tofauti na wewe WAMEFAIL
 
Hawezi kuamini....hata kigogo haamini yaani lissu atakuwa amewadharau sana hao cdm
Ni wakati wananchi wa tanganyika waelewe kuwa hii nchi si ya kupiganiwa na chama fulani, bali watu wote. Hata kama huendi vitani, watie moyo waliopo vitani, sio unawaacha unaenda kula bata unategemea wafie huko kwa ajili yako. Wananchi mjifunze. Chama hakiwapiganii msipojipigania wenyewe

Acheni upumbavu bwana.
 
Mifano ulotoa hapo ni tabia mkeo alizo nazo (hata kama umesema anasimamia miradi yenu)
unakuja hapa kupotosha watu ati kuna haja kuoa? Kuna vitu mke anafanya wewe hufanyi Wewe unazaa?
Hivi mwanamke kuwa na kazi inamaanisha asifanye majukumu yake? Kama mkeo hafanyi pole yako. Wengine wanafanya.

Mke anaefanya kazi lazima chakula cha usiku apike yeye. Lazima awe na tabia ya kuamka sa11 ili aandalie mtoto uji , chai ndo aende kazini.

Lakini pia weekend usafi lazima afanye afue apange nyumba na kupika chakula cha tofauti na siku zote maana ndo anakuwa na muda wa kutosha.
Mtu kama alizoea kufanya kazi za nyumbani kazi ya kuajiriwa haiwezi kuwa kikwazo.

Sema wenye bahati mbaya wanakutana na ma slay queen basi wanahisi wanawake wote wako hivyo.
Dada wa kazi siku zote ni msaidizi. Kama mm ambae sipendi wadada wa kazi sijui itakuwaje nikilazimika kuwa nae? mm sipendagi mtu kunifanyia kazi yeyote na akifanya isiwe na kasoro.
Naamini mpaka mtu akubali kuwa mke wa mtu anajua majukumu yake.
Nadhani nahitaji mwanamke mwenye maono kama yako[emoji173]
 
Hivi kumbe unaoa ili upate wa kukupikia na kukufulia?
Swali langu yote si yanafanyika au unapenda urudi umkute mkeo na mwiko na huku jasho linamtoka kisa kukusongea ugali? Achana na mfumo dume wewe kuwa wa kisasa.................... hata km siendi kazini huko jikoni siingi ng'ooo na nguo pia sitafua utafuliwa na utapikiwa na utakula
Mwambie bwana mkubwa aelewe. Mke unagombana nae sehemu moja tuu..kwenye kukunyima papuchi.
 
Sijapinga mwanamke kujishugulisha kwa mfno mke wangu anasimamia miradi ya familia nilizofungua hata nikifa atasonga mbele napinga kuoa mwanamke kaajirisha na likampuni fulani huko au serikalini. Mume traffic mke mkufunzi wa chuo

Unajua vizuri majukumu ya baba? Inaelekea bado kijana sana.
 
Mifano ulotoa hapo ni tabia mkeo alizo nazo (hata kama umesema anasimamia miradi yenu)
unakuja hapa kupotosha watu ati kuna haja kuoa? Kuna vitu mke anafanya wewe hufanyi Wewe unazaa?
Hivi mwanamke kuwa na kazi inamaanisha asifanye majukumu yake? Kama mkeo hafanyi pole yako. Wengine wanafanya.

Mke anaefanya kazi lazima chakula cha usiku apike yeye. Lazima awe na tabia ya kuamka sa11 ili aandalie mtoto uji , chai ndo aende kazini.

Lakini pia weekend usafi lazima afanye afue apange nyumba na kupika chakula cha tofauti na siku zote maana ndo anakuwa na muda wa kutosha.
Mtu kama alizoea kufanya kazi za nyumbani kazi ya kuajiriwa haiwezi kuwa kikwazo.

Sema wenye bahati mbaya wanakutana na ma slay queen basi wanahisi wanawake wote wako hivyo.
Dada wa kazi siku zote ni msaidizi. Kama mm ambae sipendi wadada wa kazi sijui itakuwaje nikilazimika kuwa nae? mm sipendagi mtu kunifanyia kazi yeyote na akifanya isiwe na kasoro.
Naamini mpaka mtu akubali kuwa mke wa mtu anajua majukumu yake.
Kwa ninavyofahamu wanawake kama wewe ni 5%..waliobaki ndo hao kila kitu house girl..hongera sana.
 
Sijapinga mwanamke kujishugulisha kwa mfno mke wangu anasimamia miradi ya familia nilizofungua hata nikifa atasonga mbele napinga kuoa mwanamke kaajirisha na likampuni fulani huko au serikalini. Mume traffic mke mkufunzi wa chuo
We shida zako za kutosoma na kutokuwa na taaluma usituletee hapa.

Maisha yako yakuserve binafsi usiondoe maana ya taaluma za watu kutafuta levelling ya ulichokosa kwenye maisha yako.

Wote tuwe na miradi ya ufugaji kuku na kilimo cha uyoga mkeo atajifungulia hospital gani?

Pesa yako akuwekee nani benki?
Hiyo simu unatumia minara ya network akufungie nani?
Ng'ombe wako wa maziwa nani akuchomee sindano?
Au unaandika tu hapa?
Hata hilo la saba kusingekuwa na mwalimu aliyekufundisha mwandiko la 2B ungeijulia JF wapi?

Wanawake wangapi wanaka nyumbani na hawaelewi watoto wao kutwa kwenye ngoma na vigodoro?

Issue ni mwanamke kufanya kazi?
Hata huyo wa miradi ya kuku na uyoga hana mwili wa kucheka kuhitaji MSAADA?
Pesa inakusaidia iwapo sio kurahisisha maisha?
Nani alikwambia mke ni kwa ajili ya kuhenyeka?

You are very primitive aiseeh.
Mke achoke ahenyeke, ahangaike na usiku unasubiri kiuno feni?

Saa ngapi unamfurahia mkeo?
Saa ngapi mkeo anajitizama mwili wake?
Saa ngapi mkeo ajirembe ili ukute msafi ananukia,kama kutwa anahangaika na ming'ombe na watoto just in the name ya mume hataki usasa?

Mxxxxxie
 
mkuu umetumia akili sana kwenye uzi wako kwenye kuakisi maisha ya ndoa ya sasa na taswira yake, kwamba Baba ni fighter na Mama ni hustler. Kila mtu anamalengo yake kimaisha, kila mtu ni boss wa kitengo fulani kazini kwao na bado kuna boss wajuu anawafokea respectively, kila mtu akija anakuja na stress zake nyumbani na plans kibao za kufanya kesho, not at home; ila ni KAZINI. Baba anarudi kachoka, Mama anarudi kachoka, aisee.. Wanaishi kama masela fulani hivyo wanaounganishwa na mambo matatu.
1)Kiapo cha ndoa
2)watoto walionao
3)Kitanda wabacholala
Hapa watawin in life lakin wanafail as husband and wife.
 
Na ambao hawana Mirad waliyofungua?.

Naomba upinge ww na usisemee wengine.

Urithi wa Vijana wengi ni Elimu(hatujaachiwa mashamba wala assets yoyote).

Kupitia Elimu ndio utapata hayo Mengine.

Mkiwa wawili wote mnajishughulisha, Mke na Mume ni rahisi kufikia malengo kwa haraka.

So Golikipa hapana na Ww umepata bahat umefungua mirad, sisi ambao hatuna mirad wacha wake zetu wafanye kazi huko huko kwenye mashirika
 
We shida zako za kutosoma na kutokuwa na taaluma usituletee hapa.

Maisha yako yakuserve binafsi usiondoe maana ya taaluma za watu kutafuta levelling ya ulichokosa kwenye maisha yako.

Wote tuwe na miradi ya ufugaji kuku na kilimo cha uyoga mkeo atajifungulia hospital gani?

Pesa yako akuwekee nani benki?
Hiyo simu unatumia minara ya network akufungie nani?
Ng'ombe wako wa maziwa nani akuchomee sindano?
Au unaandika tu hapa?
Hata hilo la saba kusingekuwa na mwalimu aliyekufundisha mwandiko la 2B ungeijulia JF wapi?

Wanawake wangapi wanaka nyumbani na hawaelewi watoto wao kutwa kwenye ngoma na vigodoro?

Issue ni mwanamke kufanya kazi?
Hata huyo wa miradi ya kuku na uyoga hana mwili wa kucheka kuhitaji MSAADA?
Pesa inakusaidia iwapo sio kurahisisha maisha?
Nani alikwambia mke ni kwa ajili ya kuhenyeka?

You are very primitive aiseeh.
Mke achoke ahenyeke, ahangaike na usiku unasubiri kiuno feni?

Saa ngapi unamfurahia mkeo?
Saa ngapi mkeo anajitizama mwili wake?
Saa ngapi mkeo ajirembe ili ukute msafi ananukia,kama kutwa anahangaika na ming'ombe na watoto just in the name ya mume hataki usasa?

Mxxxxxie
Bado akipeleka TOTO lake hospital akamkuta nesi wa kike..ANAkuwa humble..tusaidie mtoto anahali mbaya..

Alafu hapa anawaona wasomi wakike hawana maana na wanatakiwa wakae nyumbani..

Jamani tunaitaji madoctor wakike..Tena magynacologist...Unaenda kupanua Miguuu mwanaume anakuangalia..anakusokomezea lipamba huko...

Wanawake wenye elimu wanahitajika..nakuwa na Elimu isiwe sababu ya kukosa mume..

Tena Hawa wanaume wanaojidai wanawafungulia miradi nyumbani....Hatoe hela ya matumizi anamwambia toa kwenye mradi..Hadi ahakikishe Hana mtaji Tena..na hapo ndo anaanza Maneno HUWEZI BIASHARA HUNA Akili...lakini Nia Yake Ni akae TU nyumbani akose hata hela ya kununua pipi ya mtoto..Hadi baba arudi
 
mkuu umetumia akili sana kwenye uzi wako kwenye kuakisi maisha ya ndoa ya sasa na taswira yake, kwamba Baba ni fighter na Mama ni hustler. Kila mtu anamalengo yake kimaisha, kila mtu ni boss wa kitengo fulani kazini kwao na bado kuna boss wajuu anawafokea respectively, kila mtu akija anakuja na stress zake nyumbani na plans kibao za kufanya kesho, not at home; ila ni KAZINI. Baba anarudi kachoka, Mama anarudi kachoka, aisee.. Wanaishi kama masela fulani hivyo wanaounganishwa na mambo matatu.
1)Kiapo cha ndoa
2)watoto walionao
3)Kitanda wabacholala
Hapa watawin in life lakin wanafail as husband and wife.
Hao...wanao kaa nyumbani na kupiga deki na kufuta vumbi...kunachatofauti kinachowaunganisha Tofauti na ulivyo ainisha?
 
Wote
Mifano ulotoa hapo ni tabia mkeo alizo nazo (hata kama umesema anasimamia miradi yenu)
unakuja hapa kupotosha watu ati kuna haja kuoa? Kuna vitu mke anafanya wewe hufanyi Wewe unazaa?
Hivi mwanamke kuwa na kazi inamaanisha asifanye majukumu yake? Kama mkeo hafanyi pole yako. Wengine wanafanya.

Mke anaefanya kazi lazima chakula cha usiku apike yeye. Lazima awe na tabia ya kuamka sa11 ili aandalie mtoto uji , chai ndo aende kazini.

Lakini pia weekend usafi lazima afanye afue apange nyumba na kupika chakula cha tofauti na siku zote maana ndo anakuwa na muda wa kutosha.
Mtu kama alizoea kufanya kazi za nyumbani kazi ya kuajiriwa haiwezi kuwa kikwazo.

Sema wenye bahati mbaya wanakutana na ma slay queen basi wanahisi wanawake wote wako hivyo.
Dada wa kazi siku zote ni msaidizi. Kama mm ambae sipendi wadada wa kazi sijui itakuwaje nikilazimika kuwa nae? mm sipendagi mtu kunifanyia kazi yeyote na akifanya isiwe na kasoro.
Naamini mpaka mtu akubali kuwa mke wa mtu anajua majukumu yake.
Wamekutana wote wavivu.
 
Safi Sana👍
 
Mbona unaita likampuni? Na siyo kampuni, upuuzi
Usisomeshe mwanao wa kike.ili asipate kazi.
Mke anakazi moja tu. Kufany, hata km ni goal keeper. Apike ili iweje? Akishika maji ni pale anapooga tu. Mshahara wake ni wake tu. Atajua aende saloon wapi. Km house keeper hayupo mme afanye
 
Nyie ongeeeni yoooote. Mfumo ulishafeli na matokeo ndio haya ya sasa. Mimi kwa kweli mke awe mwalimu, basi anatosha. Nje ya hapo ni kujitafutia majanga ya kifamilia. From morning to evening, mke yuko busy kuliko hata mume. Mchana anapiga simu kuuliza mtoto amekula? Kalala? Sasa huyu analea mtoto au anafuga mtoto? Huyu ana tofauti gani na mme naye akiuliza mtoto kala? Kalala?
Anafuga kwa sababu hana tofauti na mwenye mbuzi kuuliza mchungaji, vipi mbuzi wamekula, umewapa maji?

Tuseme ukweli, kuna kazi zimekaa vibaya sana kwa jinsia ya KE kijamii. Mkumbuke jamii ndio msingi wa hizo nguvu kazi zenyewe. Huko UK private companies zimeanza tabia kusainisha wafanyakazi wa kike kuwa ukijoin pale wameweka time interval, let say miaka 5 hakuna kubeba ujauzito. Sasa tunajenga jamii gani ya wanawake wasizae kisa kazi?

Watu wapo kwenye ndoa kinachowaunganisha ni "watoto tu". Hawapo kihisia. Mungu alivyotuuomba KE na ME ameweka mapenzi baina yetu na yanazidi endapo kuna ukaribu wa kihuduma ambao mke anampa mume. Hiyo ni nature. Mke anarudi saa 2 usiku kachoka.....mapenzi yapo wapi? Mwanamke nj konda wa daladala....au ndo wale wanaoamka saa 10 alfajiri kufata samaki ferry. Ananuka shombo morning to evening....yako wapi mawaddah warahmah? Just imagine, mke ana mipango yake binafsi, ajenge nyumba yake, anunue gari yake, na yupo kwenye ndoa. Sasa maana ya ndoa ni nini? We utamwambia nini akuelewe? Ikitokea leo, mke yuko katika jambo gumu la kuchagua either ndoa (mume) au kazi. My friend, unaachwa asubuhi kabisaaa.

Sisemi mke asifanye kazi. Tafuta mke mwenye kazi yenye unafuu wa kimajukumu au mtengenezee kazi (kama biashara) ambayo itampa uhuru wa kuwa MALKIA WA NYUMBA. Namjua dada mmoja kaacha kazi bank amefungua duka kubwa pale Makumbusho na mwenyewe anakiri maisha yamebadilika mno. Yuko huru sana.

Tatizo ni mfumo wetu tumeuiga kwa wazungu na kimsingi ushafeli na ndio chanzo hata talaka zimekuwa nyingi zama hizi kwa sababu ya mambo kama haya just like huko kwa wazungu. Mfumo unawataka wanawake to accumulate wealth washindane na wanaume. Zipo kazi zinawafaa sana jinsia ya KE na bado tungelinda culture na norms zetu bila kuathiri malezi ya watoto na majukum ya kifamilia kwa kiwango kikubwa kama ilivyo sasa. Au job timings zingefikiriwa upya kuwafit wanawake just like a lactating mother anavyosetiwa muda awahi home.

Mambo ni mengi muda ni mchache. Kupanga ni kuchagua.
 
Utatombws sana na kuachwa, na hata ukibahatika kuolewa hutadumu kwenye ndoa. Mark ma words

Back
Top Bottom