Jamani mnautumia kauli hiyo hebu nisaidieni maana kwangu sijawahi ona uongozi kwa huyu mama mwenye kuupiga mwingi!
Natamani na Mimi niwe miongoni mwa wanaomsifia kwa 'kuupiga mwingi', ila deep down sioni la kumsifia mpaka Sasa, tafadhalini sana, nisaidieni!