Hivi kauli ya "mama anaupiga mwingi" ni njia ya kumtaka mafuta kwa mgongo wa chupa? Maana sijawahi kuielewa kabisa🤔!

Hivi kauli ya "mama anaupiga mwingi" ni njia ya kumtaka mafuta kwa mgongo wa chupa? Maana sijawahi kuielewa kabisa🤔!

Hero

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
3,932
Reaction score
2,839
Jamani mnautumia kauli hiyo hebu nisaidieni maana kwangu sijawahi ona uongozi kwa huyu mama mwenye kuupiga mwingi!
Natamani na Mimi niwe miongoni mwa wanaomsifia kwa 'kuupiga mwingi', ila deep down sioni la kumsifia mpaka Sasa, tafadhalini sana, nisaidieni!
 
kishalijibu muda huu

'…Mtu amekaa huko kashiba ugali wake anaongea ongea tu bila facts…nikosoeni kwa facts…'-SSH

anaupiga mwingi sana

anahojiwa na Tido Mhando …kafafanua mengi tu
 
kishalijibu muda huu

'…Mtu amekaa huko kashiba ugali wake anaongea ongea tu bila facts…nikosoeni kwa facts…'-SSH

anaupiga mwingi sana

anahojiwa na Tido Mhando …kafafanua mengi tu
Hizo bla bla hazina reflection kwenye maisha ya watz!
Hayo ni maoni yake na wanaomzunguka, Ukweli upoje?
Uhalisia upo vipi?
 
Back
Top Bottom