Hivi kazi hadi iwe na sifa kuwa ni ajira inatakiwa kumuingizia mtu Tsh ngapi kwa mwezi?

Haijalishi ilimradi imekidhi mahitaji yako
 
Me kikubwa kipato kiniwezeshe kupita njia ya kwenda chooni tu. Hayo mengine ya ziada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…