Luca Paguro
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 502
- 1,141
Pole mkuu, magufuli alijenga mfumo mzuri wa bunge,lilijaa wapinzani nusu ya wabunge wote,Nauliza tu kazi ya wabunge Tanzania ni nini
Sisi kwenye Civics tuliambiwa kazi kuu ya Mbunge ni kuwawakilisha wananchi, sasa mbona kero za wananchi hatuoni zikijadiliwa kwa wingi bungeni?
Wananchi wanadai katiba mpya, uchaguzi huru na wa haki, wanataka waweze kukosoa serikali kwa uhuru bila kuhofia kutekwa, wanataka mazingira mazuri ya kuajiriwa na kujiajiri
Haya yote yanahitaji watu smart wa kuyajadili na kuyafanyia ufumbuzi
Ukisema maisha ni magumu kwa mamilioni ya Watanzania, watu wanasema serikali haiwezi kukuletea hela nyumbani kwako, ukikosoa serikali wanakuita mhaini, ukiongea kuhusu miundombinu mibovu serikali inafumba macho, kama jinsi mikoani tunavyoteseka na shida ya maji.
Maana yake matatizo ya wananchi hakuna anayeyasikiliza, na mengi wanasema sio kazi ya serikali au wanayapuuzia, ukiyataja wanasema wewe sio mzalendo
Sasa kama wananchi wenyewe ndio sisi, na hakuna wa kutetea kero zetu bungeni, kazi ya wabunge huwa ni nini?
Kwamba ubunge imekuwa tu kazi ya kukimbiliwa ili kupata posho, mishahara mikubwa, magari ya kifahari na mafuta full tank?
Wabunge wanalipwa hela kubwa, tena nchi masikini kama Tanzania inawanunulia magari ya kifahari, inawajazia na mafuta, wanapewa posho nyingi na mishahara mikubwa na sijui kama wanalipa kodi hawa
Wamekuwa wakilipwa hivi kwa miaka na miaka ila kero za wananchi kila siku zinaongezeka badala ya kupungua
So
Kazi ya wabunge ni nini?
Sasa kwa nini linatumia pesa zetu kwa lazima kama halina kazi yoyote ya kuboresha maisha yetu??BUNGE HALIPO HAPO KUBADILISHA MAISHA YAKO .
KAMA KUNA KERO MTAANI ITATUENI
MKISHINDWA KUJIPAMBANIA MJIANDAE KUFA MASIKINI .
N.B KIJANA KATAA MAANDAMANO LINDA UHAI WAKO .
Sasa kwa nini linatumia pesa zetu kwa lazima kama halina kazi yoyote ya kuboresha maisha yetu??
Nonsense.BUNGE HALIPO HAPO KUBADILISHA MAISHA YAKO .
KAMA KUNA KERO MTAANI ITATUENI
MKISHINDWA KUJIPAMBANIA MJIANDAE KUFA MASIKINI .
N.B KIJANA KATAA MAANDAMANO LINDA UHAI WAKO .
Ndio maana tunataka utawala wenu wa CCM nyie machawa uondoke tuweke UONGOZI utakaoutumikia wananchi kuhakikisha kuna maendeleo, utawala wa sheria na haki.Kama mpaka Leo mnaamini shida zenu zitatatatiliwa na bunge mjue hamjitambui
Soma tena kilichopostiwa na ulichokijibu... na ndio maana GenZ wanaburuta haswa ni majibu kama hayaBUNGE HALIPO HAPO KUBADILISHA MAISHA YAKO .
KAMA KUNA KERO MTAANI ITATUENI KWA KUSHIRIKIANA
MKISHINDWA KUJIPAMBANIA MJIANDAE KUUMIA
N.B KIJANA KATAA MAANDAMANO LINDA UHAI WAKO .
Kwahiyo kazi ya bunge ni ipi dada?BUNGE HALIPO HAPO KUBADILISHA MAISHA YAKO .

Kushindana kumsifia RaisNauliza tu kazi ya wabunge Tanzania ni nini
Sisi kwenye Civics tuliambiwa kazi kuu ya Mbunge ni kuwawakilisha wananchi, sasa mbona kero za wananchi hatuoni zikijadiliwa kwa wingi bungeni?
Wananchi wanadai katiba mpya, uchaguzi huru na wa haki, wanataka waweze kukosoa serikali kwa uhuru bila kuhofia kutekwa, wanataka mazingira mazuri ya kuajiriwa na kujiajiri
Haya yote yanahitaji watu smart wa kuyajadili na kuyafanyia ufumbuzi
Ukisema maisha ni magumu kwa mamilioni ya Watanzania, watu wanasema serikali haiwezi kukuletea hela nyumbani kwako, ukikosoa serikali wanakuita mhaini, ukiongea kuhusu miundombinu mibovu serikali inafumba macho, kama jinsi mikoani tunavyoteseka na shida ya maji.
Maana yake matatizo ya wananchi hakuna anayeyasikiliza, na mengi wanasema sio kazi ya serikali au wanayapuuzia, ukiyataja wanasema wewe sio mzalendo
Sasa kama wananchi wenyewe ndio sisi, na hakuna wa kutetea kero zetu bungeni, kazi ya wabunge huwa ni nini?
Kwamba ubunge imekuwa tu kazi ya kukimbiliwa ili kupata posho, mishahara mikubwa, magari ya kifahari na mafuta full tank?
Wabunge wanalipwa hela kubwa, tena nchi masikini kama Tanzania inawanunulia magari ya kifahari, inawajazia na mafuta, wanapewa posho nyingi na mishahara mikubwa na sijui kama wanalipa kodi hawa
Wamekuwa wakilipwa hivi kwa miaka na miaka ila kero za wananchi kila siku zinaongezeka badala ya kupungua
So
Kazi ya wabunge ni nini?
Kwahiyo kazi ya bunge ni ipi dada?BUNGE HALIPO HAPO KUBADILISHA MAISHA YAKO .
KAMA KUNA KERO MTAANI ITATUENI KWA KUSHIRIKIANA
MKISHINDWA KUJIPAMBANIA MJIANDAE KUUMIA
N.B KIJANA KATAA MAANDAMANO LINDA UHAI WAKO .
BUNGE HALIPO HAPO KUBADILISHA MAISHA YAKO .
KAMA KUNA KERO MTAANI ITATUENI KWA KUSHIRIKIANA
MKISHINDWA KUJIPAMBANIA MJIANDAE KUUMIA
N.B KIJANA KATAA MAANDAMANO LINDA UHAI WAKO .
uchaguzi Kama wa 2020 ulikuwa fair sanaPole mkuu, magufuli alijenga mfumo mzuri wa bunge,lilijaa wapinzani nusu ya wabunge wote,
Chaguzi zote kipindi cha Magufuli zilikuwa fair kabisa...sijui nani wakulaumiwa kwa hizi lawama zako au tumshtakie Yesu