Hivi kazi ya wabunge hapa Tanzania ni nini?

Nauliza tu kazi ya wabunge Tanzania ni nini

Sisi kwenye Civics tuliambiwa kazi kuu ya Mbunge ni kuwawakilisha wananchi, sasa mbona kero za wananchi hatuoni zikijadiliwa kwa wingi bungeni?

Wananchi wanadai katiba mpya, uchaguzi huru na wa haki, wanataka waweze kukosoa serikali kwa uhuru bila kuhofia kutekwa, wanataka mazingira mazuri ya kuajiriwa na kujiajiri
Haya yote yanahitaji watu smart wa kuyajadili na kuyafanyia ufumbuzi

Ukisema maisha ni magumu kwa mamilioni ya Watanzania, watu wanasema serikali haiwezi kukuletea hela nyumbani kwako, ukikosoa serikali wanakuita mhaini, ukiongea kuhusu miundombinu mibovu serikali inafumba macho, kama jinsi mikoani tunavyoteseka na shida ya maji.

Maana yake matatizo ya wananchi hakuna anayeyasikiliza, na mengi wanasema sio kazi ya serikali au wanayapuuzia, ukiyataja wanasema wewe sio mzalendo

Sasa kama wananchi wenyewe ndio sisi, na hakuna wa kutetea kero zetu bungeni, kazi ya wabunge huwa ni nini?
Kwamba ubunge imekuwa tu kazi ya kukimbiliwa ili kupata posho, mishahara mikubwa, magari ya kifahari na mafuta full tank?

Wabunge wanalipwa hela kubwa, tena nchi masikini kama Tanzania inawanunulia magari ya kifahari, inawajazia na mafuta, wanapewa posho nyingi na mishahara mikubwa na sijui kama wanalipa kodi hawa
Wamekuwa wakilipwa hivi kwa miaka na miaka ila kero za wananchi kila siku zinaongezeka badala ya kupungua

So
Kazi ya wabunge ni nini?
Kuiba hela
 
Ukiona watu wanaacha kazi zao walizozisotea darasani na kupambana kwa njia yoyote ile ili kwenda bungeni kaa ukijua Bungeni kuna mihela ya bure na fursa nyingi sana za burebure tu.Tumeona hata wafanyabiashara wakubwa wakijiingiza kwenye siasa,Madoktari,Waalimu na hata maprofesa wanakaimbia chaki wanaingia huko.
Fanya jitihada uingie mjengoni na hakika na wewe ukionja kule utakuwa tayari kumwaga damu ili ubakie kule mjengoni.
WABUNGE WANAKAZI KWENYE MAKARATASI TU ILA SI KWA UHALISIA WAKE.
Waliokuwa wanaifanya kazi kwa ufasaha walipambaniwa wasirudi bungeni ili walioenda kupiga pesa wapige bila hofu, na walale bungeni bila hofu huku wakisubiri kusaini nakusepa kupga malaya vichochoroni.
 
KAZI YA MBUGE HAPA TANZANIA NI KUSEMA NAMSHUKURU MH RAIS KWA KAZI NZURI FULLSTOP
 
Wapinzani walituchelewesha sn haya sasa miaka inaenda kufka 10 bungen wapo ccm peke yao, madiwani ccm, wenyeviti mitaa ccm, serikali ccm, mahakama ccm JE WAMEFANYA NINI CHA MAANA MPK SASA je maji yapo? umeme je, madarasa, miundombinu nk mambo madogo kama haya tu je yapo angalau hata kwa 30% nchi hii? ninachojua mpk mradi wny wateja wengi kama wa mwendokasi umewashnda na tena upo dsm tu na si dsm yote serikali imeshnda kuuendesha sbb wateja ni wengi sn sa kama magari hayo yamewashnda je SGR, je SHIRIKA LA NDEGE? ni swala la muda tu zle ndege watazgawana zote watauziana kwa bei cheap, sgr watabnafsisha kwa kampuni fake toka nje ya kihindi kumbe ni wao ndo wamegawana percent at last kwaheri ndo imetoka. kama walimpa mabilion ya watanganyika mzee warioba kwaajili katiba mpya kumbe hata hawakuwa na mpango huo ila ilikuwa danganya toto pesa ambazo zngeokolewa uwenda tatzo la maji kwa mkoa wa dsm ingekuwa hstoria sa watashndwa nn kufilisi yale madege alonunua magufuri.
 
Nauliza tu kazi ya wabunge Tanzania ni nini

Sisi kwenye Civics tuliambiwa kazi kuu ya Mbunge ni kuwawakilisha wananchi, sasa mbona kero za wananchi hatuoni zikijadiliwa kwa wingi bungeni?

Wananchi wanadai katiba mpya, uchaguzi huru na wa haki, wanataka waweze kukosoa serikali kwa uhuru bila kuhofia kutekwa, wanataka mazingira mazuri ya kuajiriwa na kujiajiri
Haya yote yanahitaji watu smart wa kuyajadili na kuyafanyia ufumbuzi

Ukisema maisha ni magumu kwa mamilioni ya Watanzania, watu wanasema serikali haiwezi kukuletea hela nyumbani kwako, ukikosoa serikali wanakuita mhaini, ukiongea kuhusu miundombinu mibovu serikali inafumba macho, kama jinsi mikoani tunavyoteseka na shida ya maji.

Maana yake matatizo ya wananchi hakuna anayeyasikiliza, na mengi wanasema sio kazi ya serikali au wanayapuuzia, ukiyataja wanasema wewe sio mzalendo

Sasa kama wananchi wenyewe ndio sisi, na hakuna wa kutetea kero zetu bungeni, kazi ya wabunge huwa ni nini?
Kwamba ubunge imekuwa tu kazi ya kukimbiliwa ili kupata posho, mishahara mikubwa, magari ya kifahari na mafuta full tank?

Wabunge wanalipwa hela kubwa, tena nchi masikini kama Tanzania inawanunulia magari ya kifahari, inawajazia na mafuta, wanapewa posho nyingi na mishahara mikubwa na sijui kama wanalipa kodi hawa
Wamekuwa wakilipwa hivi kwa miaka na miaka ila kero za wananchi kila siku zinaongezeka badala ya kupungua

So
Kazi ya wabunge ni nini?
Kuvuta mpunga, kuvuta usafiri mkaaliii, na kutesa kwa Raha zetu.

Mnataka wabunge tuwatetee kwani nyie hamna midomo?

Kila mtu abebe msalaba wake.
 
Nauliza tu kazi ya wabunge Tanzania ni nini?

Sisi kwenye Civics tuliambiwa kazi kuu ya Mbunge ni kuwawakilisha wananchi, sasa mbona kero za wananchi hatuoni zikijadiliwa kwa wingi bungeni?

Wananchi wanadai Katiba Mpya, Uchaguzi Huru na wa Haki, wanataka waweze kukosoa serikali kwa uhuru bila kuhofia kutekwa, wanataka mazingira mazuri ya kuajiriwa na kujiajiri, nk. Haya yote yanahitaji watu smart wa kuyajadili na kuyafanyia ufumbuzi.

Ukisema maisha ni magumu kwa mamilioni ya Watanzania, watu wanasema serikali haiwezi kukuletea hela nyumbani kwako, ukikosoa serikali wanakuita mhaini, ukiongea kuhusu miundombinu mibovu serikali inafumba macho, kama jinsi mikoani tunavyoteseka na shida ya maji.

Maana yake matatizo ya wananchi hakuna anayeyasikiliza, na mengi wanasema sio kazi ya serikali au wanayapuuzia, ukiyataja wanasema wewe sio mzalendo!

Sasa kama wananchi wenyewe ndio sisi, na hakuna wa kutetea kero zetu bungeni, kazi ya wabunge huwa ni nini? Kwamba ubunge imekuwa tu kazi ya kukimbiliwa ili kupata posho, mishahara mikubwa, magari ya kifahari na mafuta full tank?

Wabunge wanalipwa hela kubwa, tena nchi masikini kama Tanzania inawanunulia magari ya kifahari, inawajazia na mafuta, wanapewa posho nyingi na mishahara mikubwa na sijui kama wanalipa kodi hawa. Wamekuwa wakilipwa hivi kwa miaka na miaka ila kero za wananchi kila siku zinaongezeka badala ya kupungua!

So, kazi ya wabunge ni nini?
Bunge lina kazi kubwa sana kwa nchi zenye utawala bora ila kwa hapa TZ Bunge letu halina kazi yeyote hata likifutwa hakuna tutakacho athirika maana katiba haifuatwi so hata wakitunga inakuwa haifuatwi.
 
Pole mkuu, magufuli alijenga mfumo mzuri wa bunge,lilijaa wapinzani nusu ya wabunge wote,
Chaguzi zote kipindi cha Magufuli zilikuwa fair kabisa...sijui nani wakulaumiwa kwa hizi lawama zako au tumshtakie Yesu

Japo chaguzi zina FIGISU nyingi ila kuanzia 2020 ilikuwa ni UCHAFUZI ,2025 ndiyo vichekesho kabisa.

Yaani ni bora tufuta uchaguzi wawe wanajiteua kwenye vyama wanapigiana kura then tunaokoa 700B ziende kutuchimbia visima nchi nzima ili tupate maji safi na salama 24/7.
 
Kama mpaka Leo mnaamini shida zenu zitatatatiliwa na bunge mjue hamjitambui
1. Shida za wwananchi zinatatuliwa kwa kupata kipato cha kuridhisha katika shughuri zao za kiuchumi.

2. Shughuri za kiuchumi zinaweza kuleta mazao bora endapo uwanja utakuwa na hali ya hewa nzuri.

3. Hali ya hewa nzuri katika shughri za kiuchimi ni jukumu la dola ikijumuisha serikali, mahakama na bunge.
4. Hivyo wewe nadhani ujitahidi kujitambua kwa kusoma kipengere 1-3 hapo juu.
 
Bunge lina kazi kubwa sana kwa nchi zenye utawala bora ila kwa hapa TZ Bunge letu halina kazi yeyote hata likifutwa hakuna tutakacho athirika maana katiba haifuatwi so hata wakitunga inakuwa haifuatwi.
Sahihi, kwa Tanzania bunge ni useless
 
BUNGE HALIPO HAPO KUBADILISHA MAISHA YAKO .

KAMA KUNA KERO MTAANI ITATUENI KWA KUSHIRIKIANA

MKISHINDWA KUJIPAMBANIA MJIANDAE KUUMIA

N.B KIJANA KATAA MAANDAMANO LINDA UHAI WAKO .
Mkoa ambao wanausifia una wasomi wengi ila kumbe ni mabumunda matupu...mfano wao ni hili jinga linalolomba nyoro ya abdu ili liweshe kuishi
 
Back
Top Bottom