The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Kuiba helaNauliza tu kazi ya wabunge Tanzania ni nini
Sisi kwenye Civics tuliambiwa kazi kuu ya Mbunge ni kuwawakilisha wananchi, sasa mbona kero za wananchi hatuoni zikijadiliwa kwa wingi bungeni?
Wananchi wanadai katiba mpya, uchaguzi huru na wa haki, wanataka waweze kukosoa serikali kwa uhuru bila kuhofia kutekwa, wanataka mazingira mazuri ya kuajiriwa na kujiajiri
Haya yote yanahitaji watu smart wa kuyajadili na kuyafanyia ufumbuzi
Ukisema maisha ni magumu kwa mamilioni ya Watanzania, watu wanasema serikali haiwezi kukuletea hela nyumbani kwako, ukikosoa serikali wanakuita mhaini, ukiongea kuhusu miundombinu mibovu serikali inafumba macho, kama jinsi mikoani tunavyoteseka na shida ya maji.
Maana yake matatizo ya wananchi hakuna anayeyasikiliza, na mengi wanasema sio kazi ya serikali au wanayapuuzia, ukiyataja wanasema wewe sio mzalendo
Sasa kama wananchi wenyewe ndio sisi, na hakuna wa kutetea kero zetu bungeni, kazi ya wabunge huwa ni nini?
Kwamba ubunge imekuwa tu kazi ya kukimbiliwa ili kupata posho, mishahara mikubwa, magari ya kifahari na mafuta full tank?
Wabunge wanalipwa hela kubwa, tena nchi masikini kama Tanzania inawanunulia magari ya kifahari, inawajazia na mafuta, wanapewa posho nyingi na mishahara mikubwa na sijui kama wanalipa kodi hawa
Wamekuwa wakilipwa hivi kwa miaka na miaka ila kero za wananchi kila siku zinaongezeka badala ya kupungua
So
Kazi ya wabunge ni nini?
Hakikisha UNALINDA UHAI WAKO FAMILIA INAKUTEGEMEA
Ukiona watu wanaacha kazi zao walizozisotea darasani na kupambana kwa njia yoyote ile ili kwenda bungeni kaa ukijua Bungeni kuna mihela ya bure na fursa nyingi sana za burebure tu.Tumeona hata wafanyabiashara wakubwa wakijiingiza kwenye siasa,Madoktari,Waalimu na hata maprofesa wanakaimbia chaki wanaingia huko.Nauliza tu kazi ya wabunge Tanzania ni nini
Sisi kwenye Civics tuliambiwa kazi kuu ya Mbunge ni kuwawakilisha wananchi, sasa mbona kero za wananchi hatuoni zikijadiliwa kwa wingi bungeni?
Wananchi wanadai katiba mpya, uchaguzi huru na wa haki, wanataka waweze kukosoa serikali kwa uhuru bila kuhofia kutekwa, wanataka mazingira mazuri ya kuajiriwa na kujiajiri
Haya yote yanahitaji watu smart wa kuyajadili na kuyafanyia ufumbuzi
Ukisema maisha ni magumu kwa mamilioni ya Watanzania, watu wanasema serikali haiwezi kukuletea hela nyumbani kwako, ukikosoa serikali wanakuita mhaini, ukiongea kuhusu miundombinu mibovu serikali inafumba macho, kama jinsi mikoani tunavyoteseka na shida ya maji.
Maana yake matatizo ya wananchi hakuna anayeyasikiliza, na mengi wanasema sio kazi ya serikali au wanayapuuzia, ukiyataja wanasema wewe sio mzalendo
Sasa kama wananchi wenyewe ndio sisi, na hakuna wa kutetea kero zetu bungeni, kazi ya wabunge huwa ni nini?
Kwamba ubunge imekuwa tu kazi ya kukimbiliwa ili kupata posho, mishahara mikubwa, magari ya kifahari na mafuta full tank?
Wabunge wanalipwa hela kubwa, tena nchi masikini kama Tanzania inawanunulia magari ya kifahari, inawajazia na mafuta, wanapewa posho nyingi na mishahara mikubwa na sijui kama wanalipa kodi hawa
Wamekuwa wakilipwa hivi kwa miaka na miaka ila kero za wananchi kila siku zinaongezeka badala ya kupungua
So
Kazi ya wabunge ni nini?
😁😁😁Moja ya kazi ya bunge ni kupiga makofi wakati Samia Suluhu anakunywa maji.
Mmhuchaguzi Kama wa 2020 ulikuwa fair sana
Ukiumbua maovu yao jua awamu inayofata hurudi BungeniKAZI YA MBUGE HAPA TANZANIA NI KUSEMA NAMSHUKURU MH RAIS KWA KAZI NZURI FULLSTOP
Kuvuta mpunga, kuvuta usafiri mkaaliii, na kutesa kwa Raha zetu.Nauliza tu kazi ya wabunge Tanzania ni nini
Sisi kwenye Civics tuliambiwa kazi kuu ya Mbunge ni kuwawakilisha wananchi, sasa mbona kero za wananchi hatuoni zikijadiliwa kwa wingi bungeni?
Wananchi wanadai katiba mpya, uchaguzi huru na wa haki, wanataka waweze kukosoa serikali kwa uhuru bila kuhofia kutekwa, wanataka mazingira mazuri ya kuajiriwa na kujiajiri
Haya yote yanahitaji watu smart wa kuyajadili na kuyafanyia ufumbuzi
Ukisema maisha ni magumu kwa mamilioni ya Watanzania, watu wanasema serikali haiwezi kukuletea hela nyumbani kwako, ukikosoa serikali wanakuita mhaini, ukiongea kuhusu miundombinu mibovu serikali inafumba macho, kama jinsi mikoani tunavyoteseka na shida ya maji.
Maana yake matatizo ya wananchi hakuna anayeyasikiliza, na mengi wanasema sio kazi ya serikali au wanayapuuzia, ukiyataja wanasema wewe sio mzalendo
Sasa kama wananchi wenyewe ndio sisi, na hakuna wa kutetea kero zetu bungeni, kazi ya wabunge huwa ni nini?
Kwamba ubunge imekuwa tu kazi ya kukimbiliwa ili kupata posho, mishahara mikubwa, magari ya kifahari na mafuta full tank?
Wabunge wanalipwa hela kubwa, tena nchi masikini kama Tanzania inawanunulia magari ya kifahari, inawajazia na mafuta, wanapewa posho nyingi na mishahara mikubwa na sijui kama wanalipa kodi hawa
Wamekuwa wakilipwa hivi kwa miaka na miaka ila kero za wananchi kila siku zinaongezeka badala ya kupungua
So
Kazi ya wabunge ni nini?
Bunge lina kazi kubwa sana kwa nchi zenye utawala bora ila kwa hapa TZ Bunge letu halina kazi yeyote hata likifutwa hakuna tutakacho athirika maana katiba haifuatwi so hata wakitunga inakuwa haifuatwi.Nauliza tu kazi ya wabunge Tanzania ni nini?
Sisi kwenye Civics tuliambiwa kazi kuu ya Mbunge ni kuwawakilisha wananchi, sasa mbona kero za wananchi hatuoni zikijadiliwa kwa wingi bungeni?
Wananchi wanadai Katiba Mpya, Uchaguzi Huru na wa Haki, wanataka waweze kukosoa serikali kwa uhuru bila kuhofia kutekwa, wanataka mazingira mazuri ya kuajiriwa na kujiajiri, nk. Haya yote yanahitaji watu smart wa kuyajadili na kuyafanyia ufumbuzi.
Ukisema maisha ni magumu kwa mamilioni ya Watanzania, watu wanasema serikali haiwezi kukuletea hela nyumbani kwako, ukikosoa serikali wanakuita mhaini, ukiongea kuhusu miundombinu mibovu serikali inafumba macho, kama jinsi mikoani tunavyoteseka na shida ya maji.
Maana yake matatizo ya wananchi hakuna anayeyasikiliza, na mengi wanasema sio kazi ya serikali au wanayapuuzia, ukiyataja wanasema wewe sio mzalendo!
Sasa kama wananchi wenyewe ndio sisi, na hakuna wa kutetea kero zetu bungeni, kazi ya wabunge huwa ni nini? Kwamba ubunge imekuwa tu kazi ya kukimbiliwa ili kupata posho, mishahara mikubwa, magari ya kifahari na mafuta full tank?
Wabunge wanalipwa hela kubwa, tena nchi masikini kama Tanzania inawanunulia magari ya kifahari, inawajazia na mafuta, wanapewa posho nyingi na mishahara mikubwa na sijui kama wanalipa kodi hawa. Wamekuwa wakilipwa hivi kwa miaka na miaka ila kero za wananchi kila siku zinaongezeka badala ya kupungua!
So, kazi ya wabunge ni nini?
Pole mkuu, magufuli alijenga mfumo mzuri wa bunge,lilijaa wapinzani nusu ya wabunge wote,
Chaguzi zote kipindi cha Magufuli zilikuwa fair kabisa...sijui nani wakulaumiwa kwa hizi lawama zako au tumshtakie Yesu
1. Shida za wwananchi zinatatuliwa kwa kupata kipato cha kuridhisha katika shughuri zao za kiuchumi.Kama mpaka Leo mnaamini shida zenu zitatatatiliwa na bunge mjue hamjitambui
Sahihi, kwa Tanzania bunge ni uselessBunge lina kazi kubwa sana kwa nchi zenye utawala bora ila kwa hapa TZ Bunge letu halina kazi yeyote hata likifutwa hakuna tutakacho athirika maana katiba haifuatwi so hata wakitunga inakuwa haifuatwi.
Mkoa ambao wanausifia una wasomi wengi ila kumbe ni mabumunda matupu...mfano wao ni hili jinga linalolomba nyoro ya abdu ili liweshe kuishiBUNGE HALIPO HAPO KUBADILISHA MAISHA YAKO .
KAMA KUNA KERO MTAANI ITATUENI KWA KUSHIRIKIANA
MKISHINDWA KUJIPAMBANIA MJIANDAE KUUMIA
N.B KIJANA KATAA MAANDAMANO LINDA UHAI WAKO .